Nawatakia Uchaguzi mwema !

Mess

JF-Expert Member
Mar 2, 2009
661
181
Mimi ni mwanachama hai wa CCM na nimpenda maendeleo, sibaki kushabikia chama na kaucha maendeleo ya nchi nyuma. Nimebadirishwa mawazo kwa kiasi kikubwa na Dr. Slaa kwenye mdahalo wa ITV nasema ili chama changu kikomae lazima kipate msukosuko kama huu. Nawatakia kila la kheri kwenye uchaguzi na busara itawale sio busara ya kuacha kura yako iibiwe bali piga kura yako kwa ufasaha. Salaam kwa mawakala jamani nyie ndo washika mpini jitahidini msinunuliwe na kila mtu awe mchunguzi wa kusikiliza kama kunam kituo hewa na kesi zifunguliwe mahakamani maana najua hila hazijawahi kukosekana. Hata Nyerere pamoja na kuwa tulikuwa tunampigia na kivuli hila bado zilikuwepo maana inaleta sifa mbaya kama kura nyingi zingeharibika au watu wengi wangekipigia kivuli.

kila la kheri
 
Back
Top Bottom