Wana ccm wote tumpe kura dr. Slaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wana ccm wote tumpe kura dr. Slaa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Muke Ya Muzungu, Oct 25, 2010.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2010
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Wana CCM wote, wenye uchungu na nchi yetu, wanaotafunwa na Umasikini, nawaomba na tena kuwasihi, kumpigia Kura Dr. Wilbrod Peter Slaa. Mimi ni mwana CCM wa Damu, lakini sidanganyiki kwa kumpigia kura Kikwete. Kura kwa kikwete ni ya Makamba na kundi lake la mafisadi. Ninavaa Sare za CCM lakini kura yangu ni kwa DR. Wilbroad Peter Slaa wa Chadema. Simpendi Mbowe wala Zito, lakini Dr. Slaa lazima nimpigie kura hata kama nimevaa Nguo za Kijani. Huyu ni mkombozi wa Tanzania aliyeletwa na Mungu. This is another version of Nyerere!

  Wana CCM wenye uchungu na nchi, sambazeni huu ujumbe, kila mmoja amwambie mwenzie, ukiwa nje ya nchi piga simu nyumbani kwenu uwaambie. Dr Slaa ndiye Rais. Mkwere akaangue nazi, awachezeshe wanae ngoma, amekumbatia mno ufisadi. Damu za watanzania waliokufa na umasikini zimrudie Kikwete, laana zote zimrudie ili watoto wake wote wabwie unga kama Miraji, na vitambi kama Ridhiwani. Makamba naye watoto wake wote wawe waropokaji na vilaza kama yeye. Mwamvita auze sura hadi hawe kichaa, ndio watatambua kwamba kuwaibia masikini siyo kitu kizuri, kina kikomo chake!

  Sheikh Yahya awasaidie wakakutane na mabikira 72 ahera. Familia ya makamba na Mkwere kikwete, walaaniwe kwa jina la bwana

  HIZI NI PICHA ZA DR. SLAA KWENYE MKUTANO WA KAWE LEO
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
   
Loading...