Elections 2010 Hali ni tete..

Mbimbinho

JF-Expert Member
Aug 1, 2009
8,315
7,731
Chama Chetu kimeshikwa pabaya sana mwaka huu, huwezi amini kama Kikwete na Kamati kuu ya Chama Jana walikaa 2 hours wakimsikiliza Dr. Slaa Live. Rafiki yangu wa ndani sana kwenye system ananieleza huko hakulaliki sababu kuu ni kwamba chochote ambacho CCM wanazusha hata kama cha kweli ajabu watanzania wana ignore na chochote hata kama cha uwongo ccm wakisingiziwa wananchi wanaamini. Hii imemlazimu Kikwete kurudi mwanza hali ni tete...
Ajabu ni kwamba Kikwete hana ujasiri wa kutaja jina la Slaa kwa maana ya "authority" kama ambavyo slaa anamtaja kwenye EPA na kwingineko.

Ninaamini mwaka huu mambo yamegeuka
 
kwanza akitajiwa Slaa huyo anakuja anaweza kuanguka na kuzimia
 
Mkuu kumtaja slaa kwa Kikwete ni sawa na KUMKAMATA SIMBA nyeti utegemee nini? Acha wakome mwaka huu HATUDANGANYUIKI NGO....Kula kwa CCM KURA kwa DR SLAAA....
 
Kuanguka/kifo ofcoz maana mziki wake si unaujua
 
kwanza akitajiwa Slaa huyo anakuja anaweza kuanguka na kuzimia

Sio anaweza, ni anaenda DOWN mdogo mdogo., nani kasema Dr Slaa mchezo, kwanza jina lenyewe Slaa, hiyo sema wamburu ndimi zao zinateleza ila ilikuwa ni SILAHA n am addin YA UKOMBOZI, maana time ndo hii
 
Slaa kwa JK ni mwiba,Jana Slaa akasema mabomu yote niliyolipua but bado nadunda huoni kuwa ni ukweli?Bse ata JK nimemtaja na sijakamatwa mpaka leo
 
Kuna mtaalam wake mmoja wa afya ananiambia kuwa jamaa hooooi mno.
nilipita last month nimekuta kuna ambulance mbili pale ikulu.
Tutegemee lolote ndani ya siku mbili hizi kuhusu afya yake
 
Duh..! Ila kweli maana nina amini jamaa now pressure zitakuwa zinapanda na kushuka, plus atakuwa ka'Luz apetait ya fud, so kaz ipo..
 
Kuna mtaalam wake mmoja wa afya ananiambia kuwa jamaa hooooi mno.
nilipita last month nimekuta kuna ambulance mbili pale ikulu.
Tutegemee lolote ndani ya siku mbili hizi kuhusu afya yake

Duh!! Inaonekana idadi ya akina sheik yahya inaongezeka siku hadi siku. Yaani na wewe msanii unatabiri kwamba lolote litatokea ndani ya siku mbili?
 
Ndugu zangu, kama nilivyosema katika uzi mmoja ambao wenye mtungo wameunganisha, njama za kuiba kura kuhakikisha kuwa Kikwete anashinda ni za kweli. Ni vema mikakati ya kupambana na njama hizi ikafanywa mbali ya kupiga na kulinda kura. Jaji Makame anaendelea na cheo chake kwa mpango maalumu wa kumbeba Kikwete na atafanya yale ya Kivuitu yule wa Kenya. Chonde msilipuuzie hili.
 
Hehhe hehe na bado aliona raha kutumbua hela za walipa kodii:A S 39::A S 39::A S 39:
 
kwanza akitajiwa Slaa huyo anakuja anaweza kuanguka na kuzimia

Hii sasa ni zaidi, siyo kweli kuwa Kikwete anamwogopa Slaa namna hiyo.

Kumbuka kuwa Kikwete alikuwa ama ni kanali au luteni kanali wa jeshi la wanachi. Kwa position hiyo, alikuwa ni Battalion Commander anayeweza kuongoza battalion nzima kwenye mapambano ya kivita. Mtu wa namna hiyo hawezi kuwa legege wa kuogopa mtu mmja tu mpaka afikiea kuzimia
 
Chama Chetu kimeshikwa pabaya sana mwaka huu, huwezi amini kama Kikwete na Kamati kuu ya Chama Jana walikaa 2 hours wakimsikiliza Dr. Slaa Live. Rafiki yangu wa ndani sana kwenye system ananieleza huko hakulaliki sababu kuu ni kwamba chochote ambacho CCM wanazusha hata kama cha kweli ajabu watanzania wana ignore na chochote hata kama cha uwongo ccm wakisingiziwa wananchi wanaamini. Hii imemlazimu Kikwete kurudi mwanza hali ni tete...
Ajabu ni kwamba Kikwete hana ujasiri wa kutaja jina la Slaa kwa maana ya "authority" kama ambavyo slaa anamtaja kwenye EPA na kwingineko.

Ninaamini mwaka huu mambo yamegeuka

Nimesikia JK amehsaanza kulia na jamaa zake wa Kamati Kuu kuwa hawana msaada wowote. Inasemekana ameshaanza kuhisi joto la serikali ijayo. Yuko katika hali ya kukata tamaa kwamba kweli power inamtoka mikononi.
 
Hii sasa ni zaidi, siyo kweli kuwa Kikwete anamwogopa Slaa namna hiyo.

Kumbuka kuwa Kikwete alikuwa ama ni kanali au luteni kanali wa jeshi la wanachi. Kwa position hiyo, alikuwa ni Battalion Commander anayeweza kuongoza battalion nzima kwenye mapambano ya kivita. Mtu wa namna hiyo hawezi kuwa legege wa kuogopa mtu mmja tu mpaka afikiea kuzimia

Hahahaaaaaaa!!! Kichuguu, hata Luteni Kanali ana mwili kama binadamu wengine. Kwa maana hiyo naye anaogopa kifo. Isitoshe tunajua JK tayari ni legelege. Kuangukaanguka kwake ni uthibitisho wa ulegelege wake. Luteni Kanali gani anaangukaangauka hovyo kama yeye? Hilo moja. La pili ni hili.

Wewe unasema JK aliweza kuongoza "battalion nzima" sawa. Kwa taarifa yako Dr. Slaa haongozi battalion moja. Yeye anaongoza battalion nyingi za Watanzania waliochoka kuonewa, kudanganywa, na kuibiwa. Kwa ajili hiyo, JK akisikia Dr.Slaa akiunguruma lazima tumbo lake lichafuke na moyo wake kwenda kasi.
 
Ndugu zangu, kama nilivyosema katika uzi mmoja ambao wenye mtungo wameunganisha, njama za kuiba kura kuhakikisha kuwa Kikwete anashinda ni za kweli. Ni vema mikakati ya kupambana na njama hizi ikafanywa mbali ya kupiga na kulinda kura. Jaji Makame anaendelea na cheo chake kwa mpango maalumu wa kumbeba Kikwete na atafanya yale ya Kivuitu yule wa Kenya. Chonde msilipuuzie hili.

Hii ni habari ya kusikitisha, je Chadema wamejipanga vipi kupinga kubadilishwa matokeo ya uraisi? Kila Mtanzania lazima apinge, kulaani na kukemea njama hizi chafu na kisheria kama ni kweli hili ni kosa la uhaini ambalo ni kosa kushinda yote kwa mujibu wa Katiba ya nchi yetu. Tafadhali Kikwete, Makame na watu wote wa NEC waheshimu matakwa ya Watanzania. Tushindane kwa amani kwa ustawi wa taifa letu.
 
Back
Top Bottom