Dr. Slaa Mkombozi wa kweli Tanzania

Dr. Slaa Mkombozi wa kweli Tanzania

Watanzania

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2009
Posts
727
Reaction score
44
Baada ya kumsikiliza kwa makini Dr. Slaa jana na kukumbuka harakati zake za kuwakomboa watanzania kuanzia bungeni, watanzania hatuna mengi ya namna ya kumuelezea Dr. Slaa bali kusema anawapenda watanzania na nchi yake ya Tanzania kwa MOYO wake wote. Kwa ufupi ni MKOMBOZI wa kweli wa watanzania na Tanzania. Rais mwenye nia ya dhati kuwakomboa watanzania ni Dr. Slaa
 
Naweza kukubaliana na wewe nikumbuka maneno ya Mwl Nyerere kuwa ''Ikulu si mahali pa kukimbilia ni mahali patakatifu si mahali pa kumbilia'',Dr SLaa aliombwa kugombea urais na alibembelezwa sana ogombee si kama wengine.
 
kabisa ni mkombozi wa wanyonge na ndio mana inatubidi kumpa kura zetu za ndio!

all the best mkombozi wetu.
CHAGUA SLAA KWA UKOMBOZI WA TANZANIA.
 
Dr. Slaa anafaa kuwa mbunge, HAFAI kuwa Rais.
 
Back
Top Bottom