ebwana uchaguzi wa mwaka huu ni noma.Siamini mazee.nimetoka kuongea na mjomba angu sasa hivi shamba.Huyu mzee ni ccm damu miaka yote.Pamoja na mambo mengine,nilimuuliza kesho kutwa kura yake ya...
Mimi si mtaalamu wa sheria hata kidogo.Naelewa sharia za kiislamu kwa kiwango fulani.
Kwa kusema hivyo nataka kujuwa itakuwaje iwapo kwa bahati mbaya dkt.Slaa katika uchaguzi wa tarehe 31 oktoba...
Ndugu zangu hata mzee vijijini wanaelewa hali halisi na wamebadilika kutaka kuona mabadiliko katika nchi hii.Nina babu yangu mzee wa miaka 90 sasa ambaye ameona tawala zilizopita toka enzi za...
TWO THINGS INVOLVED
When you are born a man, whether ul be from a developed Country or a undeveloped country;If you come from a developed country you are safe but if you are from undeveloped...
Maana viongozi wetu wengi tulio nao leo Tanzania wanapenda sana kujifanya miungu watu. Nani mwadhani atakuwa wa kwanza kujishusha kiasi hiki? Subiri mje muwaone mtaelewa nini nasema!
Wadau, kwa taarifa kamili ni kwamba, idhaa ya kiswahili ya BBC imeshtakiwa kwa uongozi wa juu wa shirika hilo pale London. Tido mhando ametajwa kuwa mmoja wa watu walioingilia uhuru wa chombo...
Hivi jamani hii nafasi ya vyama kupewa Airtime na TBC ni kwa ajili ya Urais au na ubunge?
Sioni kama kuna tija kufanya kampeni ya Ubunge wa jimbo moja kwa matangazo ya Nchi nzima wakati mgombea...
Youth votes could swing Tanzanian election
Fri Oct 29, 2010 2:27pm GMT
By Fumbuka Ng'wanakilala
DAR ES SALAAM (Reuters) - Tanzania's presidential candidates made a last-ditch push for...
Huyu jamaa amejitapa kuwa gwiji wa uchumi. Lakini mi namfahamu kama mojawapo ya 'wasomi feki' ambaye inajulikana kuwa PhD yake ina utata mtupu. Najua kuwa alikuwa mhadhiri chuo cha Mzumbe, chuo...
Eti wataalamu wa cement wameohojiwa leo itv na tbc1 kuhusu bei ya cement kuwa sh 5,000 haiwezekani kutokana na gharama ya usafirishaji kuwa kubwa!
Wana JF, nauliza mbona bei ya soda huwa karibu...
VITA BARIDI-COLD WAR(CHADEMA vs CCM)
Ni Jumapili ya terehe 24/10/2010 saa 5 asubuhi niko mezani najiandaa kuandika makala ya kueleza maoni yangu kuhusu mdahalo uliofanyika jumamosi ya tarehe...
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema kwamba CCM wameandaa mikakati michafu kuhakikisha kwamba wanashinda Uchaguzi wa Ubunge jimboni Ubunge kwa gharama zozote. Wamekaa kikao na kukubaliana...
TRA watibua nyongo za Wanzanzibari
Monday, 25 October 2010 07:52
0diggs
digg
Ally Mkoreha, Zanzibar
IDARA ya Ushuru wa Forodha katika Bandari ya Dar es Salaam, imetajwa kuwa mmoja ya...
Nionavyo mimi, ingewezekana kabisa NEC watuwekee link kwenye mtandao wao ili tuweze kuona waziwazi:
1 Majimbo yote ya Uchaguzi katika mikoa yetu,
2. vituo vyote vya kupigia kura vilivyo katika...
Wafanyakazi wote Wizara ya Mambo ya Ndani makao makuu majira ya saa 5.45 leo hii wamepewa pesa taslimu shillingi 30,000 kila mfanyakazi kuanzia mkubwa mpaka mlinzi ili wampigie kura Kikwete siku...
Wengi wa Wasimamizi na makarani wa vituo vya kupigia kura Jimbo la MONDULI kwa uchaguzi utakaofanyika 31/10/2010 ni wahitimu wa darasa la saba. Ni ukweli dhahiri kuwa mhitimu wadarasa la saba hana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.