Elections 2010 Wafanyakazi wapewa Pesa wamchague JK!

Fabolous

JF-Expert Member
Sep 23, 2010
2,509
2,695
Wafanyakazi wote Wizara ya Mambo ya Ndani makao makuu majira ya saa 5.45 leo hii wamepewa pesa taslimu shillingi 30,000 kila mfanyakazi kuanzia mkubwa mpaka mlinzi ili wampigie kura Kikwete siku ya jumapili.

Baadhi ya wafanyakazi walikua wanawapigia simu wenzao walio likizo waje kuchukua mgao huo. Baadhi niliwasikia wanasema wao kura yao ni kwa Dr Slaa kwa sababu Kikwete alisema hataki kura zao.

Mtu mwenye mashaka na hii habari hii amuulize mfanyakazi yeyote pale Home Affairs leo saa 5:45 wamepewa hela za nini atakujibu.
Haijawahi kutokea katika chaguzi zote zilizopita wafanyakazi kupewa hela za uchaguzi. Hii inaonyesha jinsi gani Jk alivyozidiwa.
Pia wafanyakazi hao wameambiwa wawe standby muda wowote watahitajika. Naomba kuwasilisha wadau!
 
:tape::tape::doh::doh::doh::doh::bowl::bowl::bowl::yield::yield::yield:
 
wafanyakazi wote wizara ya mambo ya ndani makao makuu majira ya saa 5.45 leo hii wamepewa pesa taslimu shillingi 30,000 kila mfanyakazi kuanzia mkubwa mpaka mlinzi ili wampigie kura kikwete siku ya jumapili.

Baadhi ya wafanyakazi walikua wanawapigia simu wenzao walio likizo waje kuchukua mgao huo. Baadhi niliwasikia wanasema wao kura yao ni kwa dr slaa kwa sababu kikwete alisema hataki kura zao.

Mtu mwenye mashaka na hii habari hii amuulize mfanyakazi yeyote pale home affairs leo saa 5:45 wamepewa hela za nini atakujibu.
Haijawahi kutokea katika chaguzi zote zilizopita wafanyakazi kupewa hela za uchaguzi. Hii inaonyesha jinsi gani jk alivyozidiwa.
Pia wafanyakazi hao wameambiwa wawe standby muda wowote watahitajika. Naomba kuwasilisha wadau!

waambie hiyo ni sehemu ya mgao wa fedha wanazodhulumiwa na serikali ya ccm. Fedha wachukue na kumpigia dr slaa ni kwa kwenda mbele!!!!!!!!!!
 
Wizara ya mambo ya ndani (polisi, FFU na magereza) wawe standby???? hapo kuna jambo ! Nadhani ni ili wawe tayari kuwa -deployed popote pale watakapohitajika siku ya jumamosi na jumapili. Nadhani hata JW itakuwa hivyo hivyo!
 
Wapumbavu sana hawa...
JK anazidi kujimaliza!
Rushwa inatolewa wakati anajua yuko ICU!
wAZILE HIZO PESA BILA YA KUJIULIZA, LAKINI WANAMJUA MKOMBOZI WAO!
Ni Slaa tu!
 
wafanyakazi waliowengi wakiwemo askari hawajajiandikisha aidha kutokana na majukumu walio nayo au kwa kutoona umuhimu wa kwenda kushinda kwenye foleni wakati ule wa kujiandikisha. hivyo kama wamepewa sh 30,000 hao waliozitoa wajue zimeliwa.
 
Wafanyakazi wote Wizara ya Mambo ya Ndani makao makuu majira ya saa 5.45 leo hii wamepewa pesa taslimu shillingi 30,000 kila mfanyakazi kuanzia mkubwa mpaka mlinzi ili wampigie kura Kikwete siku ya jumapili.

Baadhi ya wafanyakazi walikua wanawapigia simu wenzao walio likizo waje kuchukua mgao huo. Baadhi niliwasikia wanasema wao kura yao ni kwa Dr Slaa kwa sababu Kikwete alisema hataki kura zao.

Mtu mwenye mashaka na hii habari hii amuulize mfanyakazi yeyote pale Home Affairs leo saa 5:45 wamepewa hela za nini atakujibu.
Haijawahi kutokea katika chaguzi zote zilizopita wafanyakazi kupewa hela za uchaguzi. Hii inaonyesha jinsi gani Jk alivyozidiwa.
Pia wafanyakazi hao wameambiwa wawe standby muda wowote watahitajika. Naomba kuwasilisha wadau!

Chukua 30,000/365x5=16.43 Kwa hiyo JK ameamua kuwapa TSh 16.5 kwa siku kwa miaka mitano ni aibu kama watakubali kuuza utu wao kwa kiasi hicho cha pesa.
 
Unauza haki yako kwa elfu 30,000/- narudia tena kwa 30,000/- Siwezi kuamini kama 2010 kuna mtu wa namna hiyo tena anajiita mjanja wa mjini.

Mimi bado siamini may be waligawana pesa hizo kwa shughuli nyingine.
 
Wafanyakazi wote Wizara ya Mambo ya Ndani makao makuu majira ya saa 5.45 leo hii wamepewa pesa taslimu shillingi 30,000 kila mfanyakazi kuanzia mkubwa mpaka mlinzi ili wampigie kura Kikwete siku ya jumapili.

Baadhi ya wafanyakazi walikua wanawapigia simu wenzao walio likizo waje kuchukua mgao huo. Baadhi niliwasikia wanasema wao kura yao ni kwa Dr Slaa kwa sababu Kikwete alisema hataki kura zao.

Mtu mwenye mashaka na hii habari hii amuulize mfanyakazi yeyote pale Home Affairs leo saa 5:45 wamepewa hela za nini atakujibu.
Haijawahi kutokea katika chaguzi zote zilizopita wafanyakazi kupewa hela za uchaguzi. Hii inaonyesha jinsi gani Jk alivyozidiwa.
Pia wafanyakazi hao wameambiwa wawe standby muda wowote watahitajika. Naomba kuwasilisha wadau!

Wee pandikizi nini, unataka kututoa kwenye issues za maana unataka tupoteze muda kujadili upuuzi huu, tupe majina na saini zao na sababu za kulipwa hizo pesa(written doc)
 
Wapumbavu sana hawa...
JK anazidi kujimaliza!
Rushwa inatolewa wakati anajua yuko ICU!
wAZILE HIZO PESA BILA YA KUJIULIZA, LAKINI WANAMJUA MKOMBOZI WAO!
Ni Slaa tu!
hahaha mkuu ninaisoma hasira yako kwenye posts zako. naamini ungelikuwa na uwezo ungewacharaza viboko akina kikwete and the gang.
Nilikuwa mitaani jana na leo pale dar watu wanasema wazi kabisa kwamba wanajua kura yao wanampigia slaa. hata wanasisiemu na wajumbe wa kamati za viongozi wa shina wanasema hivyohivyo.
Ila kuna wazee wachache wameamua kufa na tai shingoni
 
Tanzania twendeni kuwatoa hawa wacheza karata Ikulu magogoni,
hakuna kulala, hakuna muda wakujiuliza,
maaamuzi tumeisha chukua
hatutaki midaharo tena
hatutaki vijisenti tena,
Tunahitaji mabadiliko kwa faid ya Tanzania.
CHADEMA HOYEEE, CHADEMA MABADILIKO YA KWELI, KATAA UPUUZI CHAGUA UMADHUBUTI
 
very funny.Huitaji kuwa msomi sana kutambua kuwa this is a hoax.Ninacheka sana kuwa wana-jf wengi si makini katika kuchanganua mambo wanayoletewa hapa jamvini.
 
Back
Top Bottom