Malalamiko dhidi ya bbc-swahili tumeyapeleka bbc makao makuu london | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Malalamiko dhidi ya bbc-swahili tumeyapeleka bbc makao makuu london

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Muke Ya Muzungu, Oct 29, 2010.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2010
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Wadau, kwa taarifa kamili ni kwamba, idhaa ya kiswahili ya BBC imeshtakiwa kwa uongozi wa juu wa shirika hilo pale London. Tido mhando ametajwa kuwa mmoja wa watu walioingilia uhuru wa chombo hicho ambacho kilikuwa kinaaminika sana hapo nyuma. Kwa sasa, ma reporters wa BBC Tanzania wamekula rushwa kubwa kutoka chama tawala CCM na kutokujali kutangaza au hata kutaja chama cha upinzani CHADEMA. Wadau, kadri tutakavyopelekea malalamiko Bush House ndo jinsi uongozi utakavyoingilia hujuma za TIDO MHANDO na CCM.Tafadhali unganeni nasi kuipinga BBC

  Kuwakilisha malalamiko yako bofya hapa
  http://www.bbc.co.uk/worldservice/institutional/2009/03/000000_contact_us.shtml
   
 2. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2010
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  AIBU BBC, mkuu elekeza jinsi ya kufanya; hujuma ni hujuma na wote lazima tuoinge haina tofauti na UFASADI NDANI Y A BBC


   
 3. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,838
  Likes Received: 468
  Trophy Points: 180
  Tuko pamoja BBC imekuwa bigG no integrity at all.Too much abuses
   
 4. S

  SUWI JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Nimeshacomplaint...... kazi kwao....
   
 5. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2010
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
 6. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #6
  Oct 29, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani mlitegemea BBC wawe fair..you must be kidding! Wapo kibiashara zaidi. Jana wakati wanamhoji Slaa walikuwa na maswali ya mtego kama vile mikataba ya kimataifa haiwezi kufutwa lakini uzuri akawa anajua sheria. Hii documentary yao ya ukabila iko so focused ndiyo maana hawaongelei udini kwenye hiyo documentary. Ni film iliyoandaliwa kitaalam zaidi na kuelewa malengo inabidi uwe na IQ nzuri kidogo. Mimi BBC niliacha nao 2005 baada ya jambazi Tido Mhando kutumia kodi ya waingereza kwa faida zake. Hawana jipya
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  Oct 29, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  mbona juzi na jana na leo nimesikia BBC wakiwahoji vizuri watu wa chadema??
   
 8. Sonara

  Sonara JF-Expert Member

  #8
  Oct 29, 2010
  Joined: Oct 2, 2008
  Messages: 730
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kama mnawatu pale Uk wanaoishi lakufanya ni kuwaomba kila mtu katika jimbo lake amuandike MP wake na Mp atakwenda na hiyo baruwa katika house of paliment sasa wakiwa wengi matokeo yake mtayashuhudia ni nini palimenti uwamuzi wao msiwache kufanya hivyo uzuri wa Mp Uk ni lazima kama kufa na Binadamu atalipeleka na kujadiliwa
   
 9. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #9
  Oct 29, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Nimeacha kusikiliza BBC
  ni muhimu tukawaambia mabosi wao kwamba kama nchi ikiingia matatani BBC nayo itahusika the hague
   
Loading...