Elections 2010 CHADEMA mtajiharibia na hizi false alarms

Kithuku

JF-Expert Member
Nov 19, 2006
1,395
208
Dakika za lala salama hizi. Kumbuka hadithi ya 'The Boy and the Wolf', wale mliosoma hadithi za Esopo.
 
Kuna msemo wa Kiswahili unaosema: Panapofuka moshi, kuna moto... Tafakari!
 
UWT kazini kwa fake alarms na kazi hii haijaanza leo. Tunaelewa kila linaloendelea.
 
Watanzania ni waelewa.
UwT mnadhani mmetoka wapi kama sio kwenye jamii???
 
Back
Top Bottom