Slaa akiwa rais itakuwaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Slaa akiwa rais itakuwaje?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ami, Oct 26, 2010.

 1. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2010
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Mimi si mtaalamu wa sheria hata kidogo.Naelewa sharia za kiislamu kwa kiwango fulani.
  Kwa kusema hivyo nataka kujuwa itakuwaje iwapo kwa bahati mbaya dkt.Slaa katika uchaguzi wa tarehe 31 oktoba akachaguliwa kuwa raisi mpya wa Tanzania huku ana kesi mahakamani ambayo bado haijahukumiwa kuhusiana na kuzini na mke wa mtu.
  Katika sharia hukumu ya dkt Slaa kwa vile ni mzinifu ambaye hajaoa na mwenyewe amekiri kosa hilo, hivyo hakuna haja tena ya kuitwa mashahidi.Hukumu yake ni kupigwa bakora mia moja za nguvu hadharani,mfano kwenye uwanja wa Taifa. Baada hapo iwapo atapona basi ahamishwe nchini kwa muda wa mwaka mmoja
  Ama kwa upande wa Josephine Mushumbushi,yeye kwa vile ni mzinifu alilyekwisha kuolewa basi hana nafasi tena ya kuwa first lady wala ya kurudi kwa mume wake wa mwanzo,kwani hukumu yake ni kuchimbiwa shimo na kupigwa mawe bila huruma mpaka afe kabisa.
   
 2. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  umekosa kabisaaaaaa cha kufanya unawaza maisha ya ndani ya mwenzako?
  yani ni sawa na umekaa unawaza ***** kavaa ch** ya rangi gani leo shit!

  fanya kazi tujenge nchi na ulete hoja za maana kwa ujenzi wa taifa
   
 3. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  mxuuuuuuu peleka magonjwa yako kwa dokta ukatibiwe maana sidhani kama ubongo wako upo sawasawa,hivi ulipna ile mental problem?au bado inakusumbua?
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,475
  Likes Received: 19,868
  Trophy Points: 280
  el madrassa
  ndio maana mnataka mahakama yenu ya ka**?
  Wewe watu wangapi wanazini tanzania nje ya ndoa?
  Halafu wewe unajuaje kuwa wamezini? Au ndio unamshikia jamaa du**u lake? Idiot!!
   
 5. dazenp

  dazenp Senior Member

  #5
  Oct 26, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 101
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kumbe mirembe wamekusahau......pumba tuuu
   
 6. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #6
  Oct 26, 2010
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Umasikini wa Tanzania elewa kuwa unaanzia hapo.
   
 7. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #7
  Oct 26, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Nadhani ume changanya nchi mkuu. Hatuishi Saudi Arabia. Sisi tupo Tanzania wewe mwenzetu upo wapi?
   
 8. K

  KICHAPO Member

  #8
  Oct 26, 2010
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tanzania haiongozwi na SHARIA, bilashaka umerogwa wewe.Tukitafuta wazinifu hakuna atakayebaki.Tunachotaka si dini ya mtu ila nani mwenye uwezo wa kutuongoza.Acha udini mpe Dr.Slaa kura yako.
   
 9. s

  seer Member

  #9
  Oct 26, 2010
  Joined: Apr 2, 2009
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaaaaaaaa haya uliandika kabla hujafikiria nini? acha ujinga wewe asiye na dhambi na awe wa kwanza kumpiga mwenye dhambi" we unajiamini nini kwamba huzini nje? ajidhaniaye amesimama aangalie asianguke ! mwache doctor wa watu kwanza huyo mwanamume gani anathubutu kuwaambia watu wengi kama watanzania "nimeachwa na mke haoni hata aibu" kazidiwa na mwanamume !
   
 10. Z

  Zawadi Ngoda JF-Expert Member

  #10
  Oct 26, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 2,290
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  So What?

  Any way, sipendi kuingiza matatizo yake ya kuzini kama ajenda katika uchaguzi, lakini huyu mzee kweli kaaibisha Watanzania.

  Kwenye hilo napata hata kichefu chefu, kweli umdhaniaye kumbe siye. Sikuweza kudhani kwamba anafanya mabo haya ya kijinga.

  Lol CHADEMA, mnatuaibisha!!!!!!
   
 11. T

  The King JF-Expert Member

  #11
  Oct 26, 2010
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we naye! umekosa cha kuandika? :deadhorse:
   
 12. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #12
  Oct 26, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  kwani muongozo wa CHADEMA unadhani ni wa ccm? kweli wewe siyo mtaalamu wa sheria na si msomaji wa katiba za vyama vya siasa
  basi ogopa kulopoka hovyo
   
 13. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #13
  Oct 26, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  zindonga na ziwelale ziwelaleee....zindonga na ziwelaleeee ziwelale!!!!!!! eeeee zindonga, zindonga, ziwelale
   
 14. MKANDYA

  MKANDYA Senior Member

  #14
  Oct 26, 2010
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jamani mbona Makamba aliyebaka mtoto wa shule hajapigwa mawe!! Na kuna mhuni na mzinzi kuliko JK??
  Wewe mwenyewe waonekana ni kiwembe; achana na mambo yasiyokuhusu.Sharia unayoisema ingemhukumu Makamba na JK kwani wao hiyo sharia inawahusu kulingana na imani ya dini yao.
   
 15. Natty Bongoman

  Natty Bongoman JF-Expert Member

  #15
  Oct 26, 2010
  Joined: Oct 10, 2008
  Messages: 273
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wow! Nahisi weye ungependa nchi yetu itawaliwe na "sharia"
   
 16. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #16
  Oct 26, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  I don't know where is this mother country heading to....
   
 17. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #17
  Oct 26, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Ami una matatizo! Achana na sharia yako,usimweke dr.slaa uko. Yeye alichagua njia sahihi ndo mana hawezi kuhukumiwa kwa kutumia ayo unayoita sharia. Yeye si mwislam ivo yupo huru dhidi ya udhalim ulioutaja. Ikumbukwe pia ndoa/uzinzi si kosa La jinai-upo apo?ndoa ni makubaliano kati ya watu wawili,hamna mtu wa kumlazimisha mwingne kumpenda au kutompenda mwingne. Mbona mnakuwa wavivu wa kufikiri? Pia hakimu alipotaja kesi iyo,alimshauri mshitaki amtafute mh.rev.dr.SLAA wakamalizane nje ya korti,'out of court settlement' upo apo? Mpe kaizari yaliyo ya kaizari. Mkuu tushirikiane kujenga taifa,say no to corruption! Dr. Slaa anaweza.
   
 18. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #18
  Oct 26, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Ami una matatizo! Achana na sharia yako,usimweke dr.slaa uko. Yeye alichagua njia sahihi ndo mana hawezi kuhukumiwa kwa kutumia ayo unayoita sharia. Yeye si mwislam ivo yupo huru dhidi ya udhalim ulioutaja. Ikumbukwe pia ndoa/uzinzi si kosa La jinai-upo apo?ndoa ni makubaliano kati ya watu wawili,hamna mtu wa kumlazimisha mwingne kumpenda au kutompenda mwingne. Mbona mnakuwa wavivu wa kufikiri? Pia hakimu alipotaja kesi iyo,alimshauri mshitaki amtafute mh.rev.dr.SLAA wakamalizane nje ya korti,'out of court settlement' upo apo? Mpe kaizari yaliyo ya kaizari. Mkuu tushirikiane kujenga taifa,say no to corruption! Dr. Slaa anaweza.
   
 19. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #19
  Oct 26, 2010
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  CRAP!!!!
  Udini tu umekutawala, huna kipya unachokiwaza
   
 20. Mo-TOWN

  Mo-TOWN JF-Expert Member

  #20
  Oct 26, 2010
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,629
  Likes Received: 139
  Trophy Points: 160
  Nonsense unaota habari ya Mahakama ya kadhi na akina Alishababu. Pole you are in the wrong forum.
   
Loading...