Sikiliza fatwa za uislamu juu ya kupiga kura kupitia redio Imani FM ya Morogoro.Kila eneo linaweza kuwa na masafa yake.Sheikh Muhammed Issa yuko hewani.
Ukikosa sasa inarudiwa rudiwa leo.
Eee mwenyezi Mungu, wewe ni mwingi wa Rehema. Tunakushukuru sana kwa kuiweka nchi yetu ya TZ katika hali ya utulivu kwa kipindi choote hiki cha uchuguzi na haswa kampeni.
Mungu sasa tunaingia...
kutokana na mwenendo wa kiasasa unavyoelekea kuna kila dalili ya wizi wa kura kutokea, na kwa kipindi hichi kifupi habari za njama hizo ya wizi zimekuwa zikilipotiwa humu (JF), kwanza na baadae...
Mtikisiko Uchaguzi Mkuu
CCM yadaiwa kuandaa mipango ya kuvuruga uchaguzi
na Mwandishi wetu
WAKATI zikiwa zimesalia siku mbili kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu Jumapili...
Tetesi za mmiliki wa Kiwira kufunga kampeni za CCM zimetawala jiji la Arusha na maswali mengi wananchi wanajiuliza juu ya Mheshimiwa huyu Rais Mstaafu naye saa hizi za majeruhi anatafuta nini kama...
Kulingana na Mjadala maarufu alio toa Dr Slaa Jioni ya leo ni wazi kuwa Mgawanyiko mkubwa wa Kijamii kwa Watanzania umesababishwa na UFISADI MKUU ambao Dr aliwahi kuwataja wahusika vinara KUMI na...
Jana jioni maeneo ya Mwadubi Wilaya ya kwimba jimbo la kwimba yamekamatwa mabox ya kupigia kura. Habari za uhakika kutoka kwa Mgombea wa Ubunge Letty Nyerere amesema wamekamata masanduku mawili na...
Tetesi hizi zinajengwa na hoja kuwa CCM wanasisitiza kuwa watapata ushindi wao kwa zaidi ya asilimia 80. Ushindi huu lazima upatikane kwa haki au hira kwa maana ndio utakaowawezesha kuunda...
Habari za uhakika nilizozipata mida siyo mirefu, hatimaye South Africa wametufutia visa watanzania. Hivyo kama una shughuli za Holyday, Busness, Transit - No Visa required.
Mwenye more info...
Na Kamarade wa Kamarade
Katika mazingira ya sasa ambapo dunia imelazimishwa kuamini kuwa kuna tofauti ndogo sana kati ya Uislamu na Ugaidi, ninaingiwa na wasiwasi sana na hatua ya Dr Slaa...
Na. M. M. Mwanakijiji
Nilisimuliwa kisa cha mbayuwayu ambaye alikuwa anaishi katika shamba la Mkulima mmoja huko Ukwereni. Mbayuwayu huyo aliishi na wenzake katika maisha ya kutegemea nafaka na...
Ni wazi ya kua wasomi wengi walioko katika post mbalimbali za serikali wanaogopa kujihusisha na siasa ili kulinda post zao na kuhofu kuhusu post zao hivyo wengi wao wanaamua kukaa kimya au...
Ni ukweli usiopingika ya kua CCM katika uchaguzi huu itashindwa.Nini cha kufanya kwa CCM na JK kubalini matokeo ya uchaguzi na kuipa CHADEMA na Dr.Slaa atuongoze na baada ya miaka mitano mtapata...
Tanzania inaongoza kwa kutoa misamaha mikubwa zaidi ya kodi ikilinganishwa na nchi nyingine za Afrika Mashariki pamoja na bajeti yake kuwa tegemezi kwa misaada ya nje kwa zaidi ya asilimia 30...
Tamaa ya uongozi na idadi kubwa ya ahadi zisizotekelezeka
Na Juma Kidogo
Ni siku na wakati mwingine tena tunakutana ndugu zangu wapendwa katika ulingo huu wa siasa ili kujadili mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.