Elections 2010 Picha inapo leta maswali badala ya jibu

babu M

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
5,221
3,166
ccmmirerani.jpg

Mtu wa pili na watatu kutoka kushoto na wapili na watatu kutoka kulia wameipa hii picha maudhui tofauti.
 
NIKIWATAZAMA VIZURI HAWA VIJANA NADHANI NI WALE WA UDOM wakati wakiapishwa kwendakwenye msafara wa kutafuta wadhamini wa JK!...Yaani hadi wanaona aibu, maana wanajua watakitumikia chama kisicho na ukweli wa sera wala mwelekeo!
 
Aibu hiyoooooooooooooooooooooooooooo na njaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. watawamaliza vijana wetu.
 

nIKIWATAZAMA VIZURI HAWA VIJANA NADHANI NI WALE WA UDOM wakati wakiapishwa kwendakwenye msafara wa kutafuta wadhamini wa JK!...Yaani hadi wanaona aibu, maana wanajua watakitumikia chama kisicho na ukweli wa sera wala mwelekeo!
Hii picha ni ya juzi wakati Bilali akiwa Mirerani.Unapohama chama kimoja kwenda chama kingine ni kwamba chama unachohamia kimekuvutia zaidi ya chama unachohama .Lakini cha kushangaza kwa hawa vijana ni tofauti, baadhi wanajaribu kuficha nyuso zao. Wanaposema pesa sio sabauni ya roho hawajakosea.
 
Huyu mbona aliyewatangulia anafanana na na Ludovick Utoh,mkaguzi mkuu wa mahesabu ya serikali?
 

nIKIWATAZAMA VIZURI HAWA VIJANA NADHANI NI WALE WA UDOM wakati wakiapishwa kwendakwenye msafara wa kutafuta wadhamini wa JK!...Yaani hadi wanaona aibu, maana wanajua watakitumikia chama kisicho na ukweli wa sera wala mwelekeo!

Wanaona Aibu
 
Hwa mbona kama vijana w kitaa tu ona wengine hawajachomekea, yule mkanda unaninginia, wanaona aibu, mwingine hajafunga mikono ya shati hawa wanafki tu!
 
Wasamee bure hawajui watendalo maana ni njaa kwelikweli na hela za field (industrial practice) hawakupewa mwaka huu baadhi yao.
 
MMMH! Kweli hawa watu walilazimishwa. Na sijui ni kiapo cha kuwa wasiri wa ufisadi au kuchakachua damu zetu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom