Elections 2010 Kampeni ya Mbatia Live on TBC1

Endeleaaa

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
1,485
738
Hivi jamani hii nafasi ya vyama kupewa Airtime na TBC ni kwa ajili ya Urais au na ubunge?

Sioni kama kuna tija kufanya kampeni ya Ubunge wa jimbo moja kwa matangazo ya Nchi nzima wakati mgombea Urais wa chama hicho hicho hajawahi kusikika zaidi ile show ya ATN.

Mbatia kwa hapo sijakuelewa.

Huyu Mzee Hashim amekuwa kama ndio Mgombea ubunge halafu Mbatia mgombea urais, maana hata kampeni za mikoani tumewahi kusikia huko Kigoma aligombea gari na Mgombea ubunge na mgombea wao baada ya kujikuta mgombea urais hana usafiri.

Ahh kwa pembeni kuna DJ anapiga jingle la Mbatia!
 
TBC1 wapo kazini wanajua jamaa anataka kuchafua upinzani na ndio maana wanampa nafasi ili amtukane Slaa na wengine
yeye anagombea ubunge wa jimbo la kawe kwa nini apewe airtime ya kuonekana Tanzania nzima, kwani anagombea uraisi?
 
Heshima kwako Kituko,

Kwani kuna tatizo gani Mbatia akipewa airtime TBC1.Unajua wakati mwingine napata taabu kidogo kuwaelewa wanajamvi wanataka nini haswa.Ingekuwa mgombea ni CCM ningewaunga mkono Mbatia anajua mgombea urais hana nafasi lakini ana haki ya kupewa airtime na TBC 1 kama ilivyo kwa wagombea wengine wa nafasi ya urais Dr Slaa wa CHADEMA na Lipumba wa CUF washapewa nafasi hiyo hadhimu.NCCR Mageuzi wameelekeza nguvu kwa mwenyekiti wake shida iko wapi ? .
 
Hivi jamani hii nafasi ya vyama kupewa Airtime na TBC ni kwa ajili ya Urais au na ubunge?

Sioni kama kuna tija kufanya kampeni ya Ubunge wa jimbo moja kwa matangazo ya Nchi nzima wakati mgombea Urais wa chama hicho hicho hajawahi kusikika zaidi ile show ya ATN.

Mbatia kwa hapo sijakuelewa.

Huyu Mzee Hashim amekuwa kama ndio Mgombea ubunge halafu Mbatia mgombea urais, maana hata kampeni za mikoani tumewahi kusikia huko Kigoma aligombea gari na Mgombea ubunge na mgombea wao baada ya kujikuta mgombea urais hana usafiri.

Ahh kwa pembeni kuna DJ anapiga jingle la Mbatia!

ni bora niangalie kunguru wa zanzibar au bata wanakunya kuliko kumsikiliza mbatia... ni shombo ya upinzani, anatia kichefuchefu
 
TBC at work, wanamalizia wanatafuta headline za kesho kwa habarileo na daily news, ila peoples power ya kawe hawaiwezi hata JK ahamie huko
 
Heshima kwako Kituko,

Kwani kuna tatizo gani Mbatia akipewa airtime TBC1.Unajua wakati mwingine napata taabu kidogo kuwaelewa wanajamvi wanataka nini haswa.Ingekuwa mgombea ni CCM ningewaunga mkono Mbatia anajua mgombea urais hana nafasi lakini ana haki ya kupewa airtime na TBC 1 kama ilivyo kwa wagombea wengine wa nafasi ya urais Dr Slaa wa CHADEMA na Lipumba wa CUF washapewa nafasi hiyo hadhimu.NCCR Mageuzi wameelekeza nguvu kwa mwenyekiti wake shida iko wapi ? .

Heshima kwako pia Mkuu Ngogo
Kulalamika kwangu sio kama simpendi huyo bwana Mbatia, lakini tatizo kubwa la tBC1 ni la kuvuruga upinzani Tanzannia na wako hapo kwa maslahi ya chama Tawala, mbatia anajulikana ni kibaraka na yupo hapo kuupinga upinzani, sasa TBC1 wanatumia hiyo Adv'ge kuumaliza upinzani na kuweka mazingira mazuri kwa CCM, hebu jaribu kufuatilia TBC1 vizuri
 
Ni kweli Mbatia anapewa airtime kwa ajili ya kumchafua Slaa, si umesikia juzi kati alivyokuwa ana rap kuhusu fidia kwamba chama chake kwamba kimeitwa NCCR MANUNUZI, hizo ndio tactics ambazo CCM inaona zitasaidia kuchoropoka kwenye kitanzi.
 
Back
Top Bottom