Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nachukia siasa, Sababu ni mwenendo wa kiutendaji wa Chama Cha Mapinduzi, ambacho hakimjali tena mnyonge na badala yake tunaambiwa CCM ina wenyewe... kina nani? Ni wenye nazo, mafisadi au? Ni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu nilitaka kuwajuza kuwa jana jioni CCM waliitisha waendesha pikipiki na vijana wavuta bangi wa Tabata Kimanga na kuwagawia Tsh. 5,000 na T-shirt kwa kila mmoja. Kadili ya watu 150...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Salaam wanabodi.<br /> Leo usiku kutakuwepo kipindi maalum cha kuombea uchaguzi mkuu uwe wa amani na utulivu.<br /> <br /> Kipindi hicho kimesharushwa na ITV na Star TV jioni ya leo. Usiku huu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
The Election Support Project 2010 The United Nations in Tanzania is helping to prepare for free, fair and credible Parliamentary and Presidential elections in 2010. Why? This support is in...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama JK atapita basi mjue ya kwamba kuna mpango madhubuti wa kuhakikisha kuwa wabunge wote wa CCM wanamchagua LOWASSA kuwa spika wa bunge(mtakuja kunikumbuka jamani).Huo ndo uozo wa CCM wao ni...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari hii si propaganda kama za CCM. Pengine ni mwendelezo wa uthubutu wa viongozi wa dini (hasa Wakristo) wanaoamua kusema ukweli kwamba hali ya mambo si shwari serikalini. na serikali hii...
0 Reactions
53 Replies
7K Views
Katika mdahalo wa jana JK aliulizwa swali moja zuri sana: kwamba ktk kipindi chake hiki cha miaka mitano kilichopita, anataka Watanzania wamkumbuke (legacy) kwa kitu gani? Muungwana alitulia...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Jamani mzee Kulola yupo ITV anaboa
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Jamaa ABDULAZIZ ABOOD anashngaza sana huku moro. Yeye anasaidia watu kwenda kuzika kwa kutumia basi lake maalum la Abood. cha ajabu wagonjwa hawapatii msaada wa gari kupelekwa hospitali. ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kutakuwa na kipindi maalumu cha Dk Slaa katika ITV leo siku ya mwisho wa kampeni kuanzia saa 9.30 hadi saa 10.30 jioni. Katika kipindi hiki Dk Slaa atafanya majumuisho ya kampeni zake na kuwaomba...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Kesho tutapiga kura. Watanzania watapimwa tena kama ni werevu au wajinga kwa kiwango gani: 1. Ukimchagua Kikwete: ama wewe ni mjinga/juha usiyejua kitu au una maslahi yasiyo halali unataka...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Leo majira ya saa 4 asubuhi nikiluwa kwenye kituo cha daladala cha Ilala Boma nikingojea basi kwenda Mwenge. Kwa takriban dakika 15 nilipokuwa nasubiri usafiri, yalipita madaladala si...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Jana Kibonde alianza kwa salam ya "Asalam Alleikum" (kama kawaida yake) ok. Embu tu-assume ladba ule ungekua ni mdahalo wa Dr Slaa,, na muuliza swali angeishia kutoa salamu ya upande mmoja wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni Swali aliloulizwa kuhusu Sura ya Serikali yake ijayo iwapo atapewa ridhaa ya kuliongoza taifa kwa awamu nyingine, na je waTZ watarajie nini kipya katika utekelezaji wa malengo ya millenia...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
....Hivi mbona jana JK hakuhojiwa na Rose MWAKITWANGE kama ilivyokuwa imepangwa ....maana yule dada ASHA MTWANGI aliyemuhoji ni moja ya waajiriwa wa IKULU chini ya kurugenzi ya habari...
0 Reactions
39 Replies
7K Views
Nilisikitishwa na kitendo cha Lipumba kumponda Dr. Slaa kwa kisingizio cha kujibu swali kwamba anamwuunga nani kati ya Dr. Slaa na Bw.Kikwete ambao ndio wanaoonekana kuwa washindani wa kweli. Kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mgombea ubunge kwa tiketi ya TLP jimbo la Nkenge anaombwa kujitoa kwa kuwa jina lake limewekewa bendera ya UDP badala ya TLP. Hivi ninavyoleta habari vikao vinaendelea kumshawishi ajitoe. Mgombea...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wana JF. Jana niliandika thread inayohusiana na habari ya Lowassa lakini naona moderator aliipiga chini. Kwa mnaokumbuka vizuri, Lowassa alikuwa kiongozi shupavu katika kazi yake ya Uwaziri...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu Ndiyo sasa tuko kwenye masaa 24 ya mwisho kabla ya kuhitimisha kazi yetu ya kuleta mabadiliko makubwa katika nchi yetu na kuifuta CCM katika historia ya Tanzania. Unaweza kuwa shujaa wa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…