Mgombea wa Ubunge wa TLP-Nkenge aombwa kujitoa dakika za Mwisho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgombea wa Ubunge wa TLP-Nkenge aombwa kujitoa dakika za Mwisho

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Methusela, Oct 30, 2010.

 1. M

  Methusela Member

  #1
  Oct 30, 2010
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 8
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 3
  Mgombea ubunge kwa tiketi ya TLP jimbo la Nkenge anaombwa kujitoa kwa kuwa jina lake limewekewa bendera ya UDP badala ya TLP. Hivi ninavyoleta habari vikao vinaendelea kumshawishi ajitoe. Mgombea huyu Wiliam Kweyamba ndie anaepewa nafasi kubwa ya kushinda katika kinyang'anyiro hicho
  tutaendelea kuwaletea habari.
   
 2. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Halafu NEC wanasema ni watu makini!!!! Wachovu wale wotee wanaendelea kuzeekea pale kwa sababu ya kuipendelea CCM kwa kila uamuzi! Asijitoe, lakini akishindwa apeleke kesi mahakamani kuidai NEC mabilioni!!
   
 3. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kodi yako italipa tu hakuna shida!!!!!!!!!!!!!!!
   
 4. doup

  doup JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2010
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,172
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  Na asithubuti kujitoa, kama hayu mcho was NRA kisha kujidai anamuunga JK, anafikiri atapata ccm viti maalum. bora uchaguguzi jimbo hilo uahilishwe kuliko kukubali ujinga huu wa nec. hivi kwani ha wazee hawa RIP mapema kutuuondelea hii dhulma.
   
Loading...