Endapo JK atashinda.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Endapo JK atashinda....

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Boflo, Oct 30, 2010.

 1. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2010
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kama JK atapita basi mjue ya kwamba kuna mpango madhubuti wa kuhakikisha kuwa wabunge wote wa CCM wanamchagua LOWASSA kuwa spika wa bunge(mtakuja kunikumbuka jamani).Huo ndo uozo wa CCM wao ni kulindana tu YAANI INANIUMA VIBAYA SANA.
  WATANZANIA KAENI CHONJO MUONE VITUKO MWAKA HUU KWANI LOWASA ATAKUWA SPIKA WA BUNGE NA VIGOGO WOTE WALIOFIKISHWA MAHAKAMANI WAMESHASHINDA KESI ZAO NA HIVYO JK AKIPITA TU WATAIDAI SERIKALI YA JK FIDIA YA KUDHALILISHWA.
  CCM watamsafisha Lowassa ili awe mgombea safi wa urais kupitia CCM 2015.

  JAMANI MSIMUWEKE JK MADARAKANI TENA MWAKA HUU NI HATARI......
   
 2. Avanti

  Avanti JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 1,209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135

  Umechelewa! Acha kusambaza sumu hiyo mbaya. Kama Lowasa akiamua kugombea Uspika kuna tatizo gani? Kwani hana haki hiyo? Kaweke pingamizi basi.
   
 3. Mo-TOWN

  Mo-TOWN JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,626
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Kila kitu kinawezekani nchi hii!
   
 4. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  • Waokota chupa za plastiki wataongezeka
  • Wamama wauza samaki wataongezeka
  • Mateja wataongezeka
  • Wapiga debe wataongezeka
  • Omba-omba wataongezeka
  • Darasa la saba aliyepeta wastani wa 0% atakwenda sekondari
  • Wahindi wataiba mara dufu ya wanavyofanya sasa
  • Watanzania watatafunwa na laana ya Mwenyezi Mungu kwa kuchagua Chama Cha Mafisadi
   
 5. M

  Munghiki Senior Member

  #5
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 153
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kwelikweli kabisa pia na nyanya kilo itakuwa sh 10000,inflation rate wll be more than 100% mkwere anajua alichofanya siongei nicje fungiwa te te te teh.
   
 6. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2010
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  CCM wanajua wanachokifanya. Yote ni kwa maslahi ya taifa. Usiwe na wasiwasi, nchi itakuwa katika mikono salama.
   
Loading...