Mgombea wa ubunge Moro anatoa basi la kwenda kuzikia lakini sio gari la wagonjwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgombea wa ubunge Moro anatoa basi la kwenda kuzikia lakini sio gari la wagonjwa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by shade, Oct 30, 2010.

 1. s

  shade Senior Member

  #1
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 155
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  Jamaa ABDULAZIZ ABOOD anashngaza sana huku moro. Yeye anasaidia watu kwenda kuzika kwa kutumia basi lake maalum la Abood. cha ajabu wagonjwa hawapatii msaada wa gari kupelekwa hospitali. ni kampeni za kupata kura za mambumbu.
  Ni kweli anamachungu na nguvu kazi au na nguvu mfu?
   
Loading...