CCM wagawa sh. 5,000 na T-shirt Freeland Pack, Kimanga Dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM wagawa sh. 5,000 na T-shirt Freeland Pack, Kimanga Dar

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by QUALITY, Oct 30, 2010.

 1. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndugu nilitaka kuwajuza kuwa jana jioni CCM waliitisha waendesha pikipiki na vijana wavuta bangi wa Tabata Kimanga na kuwagawia Tsh. 5,000 na T-shirt kwa kila mmoja. Kadili ya watu 150 walihudhulia.

  Baadaye Mkutano wa CCM ulifanyika hapo kimanga. watu wamesombwa kuanzia Ubungo, Temeke, Tandika na sehemu zingine.

  mambo ni magumu zaidi kwa CCM.

  Slaa anaweza, kesho Mpigie kura Dr. Slaa

  Bye Bye CCM:israel:
   
 2. c

  chanai JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 279
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We waache wagawe hizo pesa lakini kura hawapati. Watanzania wameamka safari hii
   
 3. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kweli hata nilipojaribu kuongea na wengi wao, wanasema walipewa hela na tshet lakini kura ni kwa shujaa, Dr. Slaa
   
 4. MWANA WA UFALME

  MWANA WA UFALME JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2010
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 578
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wacha wababaike tu. kizuri chajiuza bwana!
   
 5. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hiyo ndiyo kawaida yao,bila rushwa hakuna chama,wamekwisha!!!
   
 6. k

  kisoti Member

  #6
  Oct 30, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 81
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kula si kura.
   
Loading...