Kipindi maalumu kwenye ITV na Dk Slaa (Saa 9.30 hadi Saa 10.30) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kipindi maalumu kwenye ITV na Dk Slaa (Saa 9.30 hadi Saa 10.30)

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Binti Maria, Oct 30, 2010.

 1. B

  Binti Maria Senior Member

  #1
  Oct 30, 2010
  Joined: Jun 26, 2007
  Messages: 159
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kutakuwa na kipindi maalumu cha Dk Slaa katika ITV leo siku ya mwisho wa kampeni kuanzia saa 9.30 hadi saa 10.30 jioni. Katika kipindi hiki Dk Slaa atafanya majumuisho ya kampeni zake na kuwaomba tena watanzania wamchague hiyo kesho.

  Awali kipindi hiki kilikuwa kirushwe kuanzia saa 11 hadi saa 12, lakini katika hali ya kushangaza, ghafla ITV wameomba radhi kwamba kipindi hiki hakiwezi kuonyeshwa katika muda uliokubaliwa awali. Habari zilizopo ni kwamba CCM wakiongozwa na Kinana wameenda leo asubuhi kuwaomba ITV wasionyeshe hicho kipindi katika muda huo na wakaomba ITV waungane naTBC kurusha mkutano wa JK live Jangwani. Safari ya ukombozi ni ndefu lakini lazima tuitembee.
   
 2. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,838
  Likes Received: 469
  Trophy Points: 180
  Hata wasiporusha TAYARI TULISHAAMUA. Wale ni CELEBRITY waacheni bila kuonekana LUNINGANI hawajisikii .Hongera mzee Mengi kwa uzalendo wako nia yako imeonekana lakini umekatiriwa na GAIDI KINANA UKIMBISHIA YULE ATUKUTUMIA WASOMALI WATAKUMALIZA.

  HATA HIVYO MAAMUZI YA WATANZANIA NI DR.SLAA niko Bukombe huku ni CHADEMA TUPU leo tumekesha tunahamasisha hatuna shida na TV coverage tunasubiri kesho tukamalize kazi
  PEOPLEEEEEEEEE'S POWER
   
 3. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,174
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280

  CCM kweli Wamefulia hao.

  Mabadiliko ya nchi yetu hayategemei vipindi vya TV.
   
 4. F

  Fanfa JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2010
  Joined: Sep 25, 2009
  Messages: 538
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nasema muda huo situmwi dukani ili nimsikilize Dr. Slaa

  Kama ITV wataonyesha mkutano wa CCM itabidi TV nizime maana molari utanipanda niipasue bure.
   
 5. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Ivi hawajui TV mostly wanaoangali ani watu wa mijini ambao wengi wao ni waelewa labda radio naweza elewa kama watangangania.
  Ila Mengi nae si angewaambia kuwa uo mda uko booked!
  CCM wanahaha tena am sure uko mbeya wanaweza ata kukata umeme
   
 6. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Peoples power...I hate Salim Kikeke for being biased
   
 7. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2010
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Wanajidanganya, watu wameshaamua na hizo sauti za jk zinaboa

  wajiandae kuwa chama cha upinzani
   
 8. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2010
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Jamani tumeni SMS kuwaarifu watu watazame hiki kipindi nchi nzima. Hamasisheni kupitia wagombea wenu wa ubunge nao wahamasishe kupitia wagombea wa udiwani. Ni nafasi ya Slaa kufunga goli la penati
   
 9. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Nikiwa kinondoni manyanya nimeshuhudia dcm mbili zimebeba watoto wakiwa na tisheti mpya na bendera za sisiemu wakienda uelekeo wa jangwani.
  SISIEMU bila kuwaghilibu watu haiwezi kupata waungaji mkono wake.

  Lakini watoto hawapigi kura kesho labda wawe miongoni mwa watakaokuwa wachakachuliwaji kwenye kura
   
 10. Fabolous

  Fabolous JF-Expert Member

  #10
  Oct 30, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 1,302
  Likes Received: 436
  Trophy Points: 180
  Safi sanaaaa mkuu! Chademaaaaaaa!
   
 11. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #11
  Oct 30, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wakati huu ninapoandika Dr. Slaa anahutubia mamilioni Mbeya. Jiunge
   
 12. kisu

  kisu JF-Expert Member

  #12
  Oct 30, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 802
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Toeni Link basi!!
   
 13. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #13
  Oct 30, 2010
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Siyo Mbeya bana, ni clips za hotuba zake tv zimezuiwa na ccm kurusha live
   
 14. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #14
  Oct 30, 2010
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Sambazeni SMS watu watazame itv
   
 15. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #15
  Oct 30, 2010
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Yeah wanaweka clip za mikoa mbalimbali
   
 16. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #16
  Oct 30, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  mkuu sio live ni clip za mkoa mbali mbali,

  Asnate ITV sasa tuko droo
   
 17. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #17
  Oct 30, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,816
  Likes Received: 10,106
  Trophy Points: 280
  Mnaona hiyo sumu kwenye ITV sasa hivi
   
 18. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #18
  Oct 30, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,816
  Likes Received: 10,106
  Trophy Points: 280
  Jamani mnaona mambo huko itv jamani mie nakaribia kulia kwa raha! The new hope is here
   
 19. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #19
  Oct 30, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  mkuu Ellli tunaona

  Thanks ITV
   
 20. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #20
  Oct 30, 2010
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Duh natamani kweli ningeweza kuona hiyo, natafuta uali wa watito lakini, SLAAA JUUUUU!!! Jamani tafadhalini kesho mapemaaaa, tuwahi kuchukua ushindi wetu.
   
Loading...