Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 234
Leo majira ya saa 4 asubuhi nikiluwa kwenye kituo cha daladala cha Ilala Boma nikingojea basi kwenda Mwenge.
Kwa takriban dakika 15 nilipokuwa nasubiri usafiri, yalipita madaladala si chini ya matano yakielekea Magomeni yamejaza ‘wafuasi na mashabiki' wa CCM kuelekea Magomeni – Jangwani kwenye mkutano wao wakiwa wamevaa sare zao na vipeperushi, huku wakiimba.
Lakini kitu kilichonishtua na shakika sikuamini nilichokiona na kusikia, watu waliokuwa wakingojea usafri na wapita njia wengine (vijana, wake kwa waume) walikuwa wakiwazomea kila daladala lao likipita wakisema "MAFISADI HAO – MAFISADI HAO TUNAWANG"OA KESHO!!!!! Na kuonyesha ishara nyingine kwa mikono ambazo pengine si vizuri kuzielezea.
Jamani, inavyoelekea tunaweza…..au?.....