Tafakari yangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tafakari yangu

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by KakaJambazi, Oct 30, 2010.

 1. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Jana Kibonde alianza kwa salam ya "Asalam Alleikum" (kama kawaida yake) ok.

  Embu tu-assume ladba ule ungekua ni mdahalo wa Dr Slaa,, na muuliza swali angeishia kutoa salamu ya upande mmoja wa kikristo labda ,,,"Bwana YESU Asifiwe" na kuendelea na swali.

  Je wezetu waingeichukuliaje hasa ukizingatia hoja ya udini inatumika kuihujumu CHADEMA?

  Mbona sisi tunauvumilivu lakini wenzetu hawana?
   
Loading...