Elections 2010 Kipindi Maalum cha TV Kuombea Uchaguzi.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,442
113,452
Salaam wanabodi.

Leo usiku kutakuwepo kipindi maalum cha kuombea uchaguzi mkuu uwe wa amani na utulivu.

Kipindi hicho kimesharushwa na ITV na Star TV jioni ya leo. Usiku huu kitarushwa na TV zilizobakia kama ifuatavyo:

Saa 2:30 usiku - ATN

Saa 3:00 TV Tumaini.

Saa 4:00 TBC

Saa 5:00 Channel Ten.

Nawaombeni wale mtakao pata chance, mkitazame kipindi hicho halafu mnipe your honest opinion including critique.

Nimewaomba kwa sababu nina vested interest. Uchaguzi ikishamalizika, tutawekana wazi zaidi.

natanguliza Shukrani.

Back
Top Bottom