Elections 2010 Uchaguzi 2010: Kipimo cha Uelewa na Ujinga wa Watanzania

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Kesho tutapiga kura. Watanzania watapimwa tena kama ni werevu au wajinga kwa kiwango gani:

1. Ukimchagua Kikwete: ama wewe ni mjinga/juha usiyejua kitu au una maslahi yasiyo halali unataka kuyalinda.

2. Ukimchagua Dr. Slaa: wewe ni mwerevu, unataka mabadiliko kupata changamoto mpya chini ya serikali mpya

Hatimaye Mwenyezi Mungu atafanya majumuisho.

Asilimia atakazopata JK zitaashiria ujinga/ujuha na ufisadi wa Watanzania.

Asilimia atakazopata Slaa(PhD) ni kipimo cha werevu na ukomavu wa kifikra wa Watanzania.

Kazi kwenu Watanzania.

Tanzania itahukumiwa kwa kile Watanzania wataamua kesho.
 
Itikadi hizi za ubaguzi na ukosefu wa uvumilivu wa kisiasa zimeigharimu CHADEMA katika uchaguzi huu na zitaendelea kuigharimu hadi itakapo kufa. Hivi ina maana lazima watu wote wamuunge mkono mgoni tu? kwa style hii, naelewa kwa nini CHADEMA haikubaliki hata na wapinzani wengine maana wanajua uwepo wao utakuwa matatani ikitokea CHADEMA ikashinda.
 
Hata mbwa nao hupiga miluzi.

Endelea kuota Chadema kitakufa...........

Hopeless
 
CHADEMA hata ikifaa chuki dhidi ya ufisadi wa CCM haufi. El Nino ya Changes ................................hiyooooooooooooooooooooooooooooo.......... ccm kimbia
 
unachosema ni kweli tupu,ila naamini asilimia ya ujuha bado ni kubwa kuliko werevu na ukomavu,bado watanzania hawafundishwi na hali yao ya maisha.Bado wanakubali uongo wa CCM na pengine kudhani kuwa umaskini na hali zao duni zinaletwa na Mungu.:israel:
 
CCM inawabembeleza wale wanaoinyima kura ili wakati nge la wahunimwingine waipe< CHADEMA inawatukana wale wasioipa kura...tofauti kati ya chama na genge la wahuni
 
Itikadi hizi za ubaguzi na ukosefu wa uvumilivu wa kisiasa zimeigharimu CHADEMA katika uchaguzi huu na zitaendelea kuigharimu hadi itakapo kufa. Hivi ina maana lazima watu wote wamuunge mkono mgoni tu? kwa style hii, naelewa kwa nini CHADEMA haikubaliki hata na wapinzani wengine maana wanajua uwepo wao utakuwa matatani ikitokea CHADEMA ikashinda.

Crap 1 |krap| vulgar slang
noun
1 something that is of extremely poor quality.
&#8226; nonsense.
&#8226; rubbish; junk.
2 excrement.
&#8226; [in sing. ] an act of defecation.
 
CCM inawabembeleza wale wanaoinyima kura ili wakati nge la wahunimwingine waipe< CHADEMA inawatukana wale wasioipa kura...tofauti kati ya chama na genge la wahuni

mtu yeyote anayetetea ccm ni mjinga. huwezi kumpa kura mwizi hata siku moja! it is that simple!
 
Crap 1 |krap| vulgar slang
noun
1 something that is of extremely poor quality.
&#8226; nonsense.
&#8226; rubbish; junk.
2 excrement.
&#8226; [in sing. ] an act of defecation.

kabla ya jana nilikuwa nina majibu yenu watu kama wewe lakini sasa nimejua ninyi ndivyo mlivyo, matusi ndio sera za chama chenu, kuwajibu ni kukubaliana na sera za kibaguzi,uchochezi,na uchanga wa kidemokrasia so endeleeni na kazi yenu maana ndio mnayoiweza.
 
sawa CHADEMA asili

Burn, hivi kila anayepinga mapungufu ya CCM ni Chadema?

Mimi si mwanachama wa chama chochote cha siasa na sijawahi kupiga kura.

Kesho, kwa mara ya kwanza kabisa, nitapiga kura na sitomchagua Kikwete. Jana ndo kanihakikishia beyond reasonable doubts kwamba hawezi kitu na ni mweupe mnooo kwa nafasi ua Urais.
 
Back
Top Bottom