Swali lililombabaisha JK, Lilimpa kigugumizi cha ajabu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali lililombabaisha JK, Lilimpa kigugumizi cha ajabu!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by payuka, Oct 30, 2010.

 1. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ni Swali aliloulizwa kuhusu Sura ya Serikali yake ijayo iwapo atapewa ridhaa ya kuliongoza taifa kwa awamu nyingine, na je waTZ watarajie nini kipya katika utekelezaji wa malengo ya millenia?

  Jamaa alishikwa na Kigugumizi cha ajabu!

  Kwa mtizamo wa wasomi:

  1. Mtu kama Rais Kikwete anayemaliza muda wake anapopatwa na kigugumizi wakati wa kujibu maswali ni Dalili ya Uwongo
  2. Kikwete anapoongea hoja nzito huku kainama, haitizami hadhira yake ni Dalili pia ya Uwongo ( Dishonesty)
   
 2. Domhome

  Domhome JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2010
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 1,990
  Likes Received: 1,045
  Trophy Points: 280
  Ina maanawewe mkuu ulikuwa hulijui hilo? JK, ni mbabaishaji tu na kesho ndo siku yake ya mwisho kuwa Ikulu.

  Wakumbushe jirani zako wooote pamoja na jamaa zako kesho wafike kituoni mapema na kumchagua Dr. wa ukweli ( Dr. Wilbroad Slaa).
   
 3. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  aLISHAZOE TARATIBU ZA ZIMA MOTO NDIYO MAAANA HANA MPANGO AKIPEWA NDO ATAANDAA.MSITEGEMEE MABADILIKO
   
 4. E

  Eliyona Member

  #4
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 44
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  He's prooving what a failure he is. Even the dumbest person in the country can still trust him no more. Make a U-turn on 31st. Vote for Slaa, vote for revolution!
   
 5. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,475
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Tumsikilize Kibonde atasemaje kwenye jahazi j3!
   
 6. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,031
  Likes Received: 3,228
  Trophy Points: 280
  Usimtukuze sana huyo,,,ye ndo nani?? mbona unafuatilia vipindi ambavyo tija kwa taifa ww?
   
 7. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,823
  Likes Received: 922
  Trophy Points: 280
  Alisema kuokota makopo na kufungua vizibo bar ni ajira tosha.jamaa hana maana kabisa yule
   
 8. mchakachuaji192

  mchakachuaji192 JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Huyo jamaa sitegemei kama atakuwa na jipya wala usihangaike kuweka akili yako kumsubiria hiyo j3 wakumbushe jirani zako kuamka mapema kesho na kwenda kupiga kura
   
Loading...