Elections 2010 Sala ya Uchaguzi

Tasia I

JF-Expert Member
Apr 21, 2010
1,223
193
Eee mwenyezi Mungu, wewe ni mwingi wa Rehema. Tunakushukuru sana kwa kuiweka nchi yetu ya TZ katika hali ya utulivu kwa kipindi choote hiki cha uchuguzi na haswa kampeni.

Mungu sasa tunaingia pale haswa kenye kiini cha kampwni hizi, kuwachagua viongozi wa nchi yetu tukufu uliyotupa. Tunakusihi utupe zaidi utashi wa kisiasa hata kwa wakati huu uliobaki ili tukamchague kiongozi yule ambae ni bora na anaekupendezq wewe kwani tunajua kama akiwa mapenzi yako basi nasi kwetu atatufaa sana.

Tunaombea amani na utulivu viendelee kutawal kwa wakati huu, wakati wa matokeo kutangazwa na daima, lakini zaidi tunaomba hai yako ikatendeke katika uchaguzi huu ili kile watakacho watanzania kitimie.

Tunaomba heri zako ee baba yetu. AMENI.

Wote tuitike Aaaamin.
 
We KIKWETE uliye 2filis, jina lako lisahaulike ,utakalo lifanyike BAGAMOYO tu! Utupe leo mabilion ye2 ya EPA,Meremeta na Kigoda, uwapeleke MAFISADI wote mahakaman, uwalipe wastaafu, walimu na wafanyakazi wa serikali pesa zao. Uwasamehe wafungwa kama ulivyowasamehe LOWASA, MRAMBA, KARAMAGI na mafisadi wengine . Usi2tie katika mikataba feki, kwa kuwa ufisadi ...ni FANI YAKO NA WIZI NA UWONGO HATA MILELE


Amina
 
Back
Top Bottom