Jamani CCM inatisha!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani CCM inatisha!!!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by babalinda, Oct 30, 2010.

 1. b

  babalinda Member

  #1
  Oct 30, 2010
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ndugu wana Jamii forum Je huu ni uungwana kwa vitendo vya CCM kuwatendea wananchi?

  fuata hiyo link
  Documentary
   
 2. Mhafidhina

  Mhafidhina JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  aisee this is pathetic...! Hivi hii ni Tanzania yetu au?
   
 3. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Kama somalia vile!
   
 4. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kirefu cha CCM ni kigumu kukijua. Chama Cha Majambazi, Chama Cha Mafisadi, Chukua Chako Mapema... nk. Kwa hiyo hayo kila ovu unaloona ni la CCM. Tujiandae kumpokea Rais Mpya baada ya 31.10.2010
   
 5. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Na nyie mngekuwa na TBC yenu muonyeshe huu upuuzi
   
 6. b

  bojuka Senior Member

  #6
  Oct 30, 2010
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 128
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ENOUGH IS ENOUGH
  CHANGES IS AROUND THE CONNER.
  DR.SLAA FOR PRESIDENT:behindsofa:
   
 7. f

  frankkarashani Member

  #7
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aisee inatisha sana. Hii documentary inabidi kumpelekea Ocampo, yule mwendesha mashtaka mkuu wa Mahakama ya Uhalifu wa Kivita, The Hague, ili amkamate JK na mkewe, Makamba senior, Said Mwema, Pinda, Mwinyi junior, etc.
   
 8. M

  Mikomangwa Senior Member

  #8
  Oct 30, 2010
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  fikiria ccm inatangazia dunia kuwa Tz nikisiwa cha amani na utulivu. Mungu atunusuru.
   
 9. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mungu tusamehe kwa kukosa maarifa. Ni kweli watu wako wanaangamia. Duh hii kweli kali.
   
Loading...