Elections 2010 Mmiliki wa Kiwira yupo Arusha kufunga kampeni za CCM.................

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,174
Tetesi za mmiliki wa Kiwira kufunga kampeni za CCM zimetawala jiji la Arusha na maswali mengi wananchi wanajiuliza juu ya Mheshimiwa huyu Rais Mstaafu naye saa hizi za majeruhi anatafuta nini kama siyo kukwangua na hivyo kutonyesha vidonda vilivyoanza kupona?
 
Hizo ni propaganda za kuvuta watu kwenye mkutano. MKAPA yupo dar na atakuwepo jangwani pale
 
Tetesi za mmiliki wa Kiwira kufunga kampeni za CCM zimetawala jiji la Arusha na maswali mengi wananchi wanajiuliza juu ya Mheshimiwa huyu Rais Mstaafu naye saa hizi za majeruhi anatafuta nini kama siyo kukwangua na hivyo kutonyesha vidonda vilivyoanza kupona?

Teh teh teh teh teh wanikumbushia ile siku niyokuwepo hapo Arusha ya CHADEMA au nao wanataka kuwaiga nini ili wa ujaze huo uwanja wa NMC teh teh teh.

Nawatakia Uchaguzi mwema watu wa Arusha kweli nilishuhudia mko Juuu kwa mageuzi
 
Nadhani hizi ni mbinu za kuhadaa watu ili wasiende kwenye mikutano ya chadema kwa sababu tangu jana usiku walisema kuna wasani wanakuja akina marlw, mwasiti nk mara Birali atakuwepo leo Asubuhi nimesikia wanasema mkapa anakuja....sasa ni saa 2:45 sijawasikia au wanakuja usiku..
 
Back
Top Bottom