Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Itahesabika kuwa imeharibika ikiwa karatasi ya kura iliyohesabiwa itatobolewa na office punch? ikiwa ni la nadhani kwa wale wanye uwezo wa kupata kitoboleo karatasi itawazuia wachakuaji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Haya ni maneno ya Benjamin Wiliam Mkapa, ambaye aliendesha kampeni za vitisho zilizowakatisha Wananchi tamaa ya kutokea mabadiliko ya uongozi. Kwa sehemu kubwa sasa katitika kampeni ambazo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu wana JF,Ndugu wafanyakazi na wale wote wanaowategemea, kesho ndiyo siku tuliyokuwa tunaisubiri kwa hamu ya kumdhihirishia Kiwete kuwa Wafanyakazi si watu wa kubeza,kudharau,kutukana na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
MAELEKEZO YA KUOIGA KURA YA RAIS. Ukipewa karatasi, ANGALIA PALIPOANDIKWA DR. SLAA AU ALAMA YA VIDOLE VIWILI, TIA TIKI HAPO. UTAKUWA UMECHAGUA RAIS MAKINI. TUMA KWA WATU 20
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Wakati Zanzibar Wakiendelea na Ubishi wa Mafuta yao, ambayo hawajawahi hata kuyaona wala kufanyia utafiti !!! Wataalam wa TPDC ( Tanzania Petroleum Development Corporation )...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Age 40yrs and below wengi wetu hatuoni majina yetu katika vituo vya kupigia kura. tufanyeje?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Dr. Slaa yuko Live kwenye Radio Saut Mwanza sasa hivi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani jambo jema ni kuwa, muda huu nimetoka kuongea na Mwalimu wangu wa shule ya msingi ambaye ni msimamizi wa uchaguzi. Anasema tayari wapo kituoni wakiandaa mazingira ya upigaji kura na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu Mama Dr Batilda amefunga kampeni zake uwanja wa NMC kwa viroja vya aina yake.Kabla ya mkutano kuanza kuliwa na maandamano makubwa ya magari,pikipiki,baiskeli na waenda kwa miguu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu leo tumeshuhudia kampeni zikifungwa rasmi Tanzania nzima. Wakati akifunga kampeni hizo wilayani Hai,mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mh. Freeman Mbowe alitoa wito kuwa Tanzania ilikuwepo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu... Kesho tunapiga kura kuchagua rais, wabunge na madiwa... regardless of results, nchi itaendelea kuwepo na nadhani tukisie kidogo baadi ya matukio muhimu Mimi ntaanza na hali ya fedha, kwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jaji Lewis Makame, M-Kiti wa Tume Rajabu Kiravu, Mkurugunzi wa Uchaguzi
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimesikia kuwa CCM wameambizana kuwahi kupiga kura asubuhi sana baada ya hapo green gaurd wata azisha fujo wakiwa na kombati za CHADEMA NI KWELI?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimeongea na ndugu toka Mbeya anasema watu waliojitokeza kumpokea ni wengi sana! Kibaya zaidi hana Camera jamani mlio jirani hebu tuwekeeni angalau picha tu! NN
0 Reactions
75 Replies
10K Views
"Bad officials are elected by good citizens who do not vote."
0 Reactions
0 Replies
1K Views
I'm tired of hearing it said that democracy doesn't work. Of course it doesn't work. We are supposed to work it. - Alexander Woollcott
0 Reactions
0 Replies
959 Views
Kuna Watu wamekuwa wanajaribu kuufananisha Uchaguzi wa 2010 na ule wa mwaka 1995, wamekuwa wakijaribu kulinganisha Umaarufu alionao nao Dr. Slaa na Umaarufu aliokuwa nao Augustino Lyatonga Mrema...
0 Reactions
55 Replies
5K Views
Mungu uliye umba mbingu na nchi, uliyeumba Tanzania na watu wake; kesho watanzania wanapiga kura kuwachagua viongozi wao. Wapenda amani twakusihi uchaguzi uwe wa amani na haki. Kila mgombea avune...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Napatwa kigugumizi cha akili. Kwa masaa haya machache yaliyobakia, jk ana lipi jipya? Najiuliza hao walalahoi wenzangu wanaomshabikia amewapa nini? Nafika ukomo wa kufikiri katika hili. Inakuwaje...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wa TZ tumuombe mwenyezi mungu uchaguzi wetu uwe wa uhuru na amani. Wote wenye nia mbaya washindwe. Tujiandae kumsindikiza Kikwete kwenda kuapishwa
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom