Chakachua kura.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chakachua kura....

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mkeshahoi, Oct 30, 2010.

 1. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  NIMEICHOTA BARUA PEPE KAMA ILIVYO::

  Kama hii ni kweli basi huo ndio mkakati  Waambie na wengine, kama kweli ikitokea wasiibiwe!!!!!!!!

  Kuna mpango unaendelea wa namna ya kukinusuru chama cha mafisadi kisianguke vibaya Mkwenye uchaguzi ujuo na mbinu mbali mabali zinafanywa ili kura ziibiwe kwa gharama yoyote ile. Kuna mzee mmoja ndani ya system amenitonya kuwa ballot paper za ziwekea utaalamu kama picha ya kielelezo inavyoonyesha na mpango utakuwa kama ifuatavyo;

  1. Mpango huu ni kwa KURA za uraisi tu,

  2. Mpango huu utawahusu wagombea wenye nguvu ambapo kura za mgombea D zitahama kwa mgombea A unapokunja au unapo-fold ballot paper yako kwani sehemu ya kupigia kura ya mgombea D ina kikaratasi laini kilichowekewa gundi kali kwa juu ambapo ukipiga kura utaambiwa ukunje karatasi ya kura mara moja na kile kiaratasi kanahama kwa mgombea A,

  3. Mpango huu utapandikia kura hizi za kughushi kwa uli mshindi apatikane kwa zaidi ya asilimia 70% bila kushitukiwa kwa weizi wa kuyra wa aina yoyote na mawakala wote kusign kuthibitisha kura zimehesabiwa kihalali

  Nini cha kufanya:

  Kama mpango huu utatumika kwa basi wapiga kura mnaombwa unapofika kituo cha kura bonyeza kwa dole gumbe kwenye sehemu ya mgombea D ambapo kikaratasi (very transparent with strong glue) kitanasa kidoleni mwako halafu piga kura yako na kunja karatasi bila wasiwasi wowote.

  Habari ndio hiyo wizi wa namna hii umeshawahi kutumika sana nchi za kusini mwa amerika....


  "The Lord is the strenght of my life; of whom shall I be afraid"  [​IMG]
   

  Attached Files:

 2. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2010
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  hii ni propaganda ya akina Hiza Tambwe wakati walipokuwa CUF, ilitumika kutuliza munkari wa wana ngangari walipohidiwa ushindi na akina Lipumba, naona na CHADEMA mmeikopi hii bila kujua mastermind wake amerudi kwenye haki na kweli tayari ku kaunta agyu.
   
 3. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mnatafuta sababu za kushindwa mapemaaaaaaa.....inaonyesha mmejiandaa kushindwa safi sana
   
 4. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2010
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  hawakuanza wao alianza mrema, lipumba na eti na mbowe naye aliibiwa, kwi kwi kwi
   
Loading...