Lowassa kupewa wadhifa katika serikali mpya ya Kikwete | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lowassa kupewa wadhifa katika serikali mpya ya Kikwete

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by KIDUNDULIMA, Oct 30, 2010.

 1. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2010
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 775
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Tetesi hizi zinajengwa na hoja kuwa CCM wanasisitiza kuwa watapata ushindi wao kwa zaidi ya asilimia 80. Ushindi huu lazima upatikane kwa haki au hira kwa maana ndio utakaowawezesha kuunda serikali yenye nguvu ambayo wapinzani watakuwa kama wapiga kelele kwa maana watakuwa ni minority katika bunge. Pia kama bunge litamilikiwa na CCM kwa asilimia zaidi ya 80 uwezekano wa Lowassa kupewa nafasi ya Uspika ni mkubwa, hapo ndipo wabaya wake watamkoma, safari ya kujisafisha kwa ajili ya kuelekea kugombea urais 2015 itaanza na vyombo vya habari vyote vitanunuliwa na kutanzanza sifa na matendo 'makuu' ya CCM na uwezo wa utendaji wa Lowassa. Katika tetesi hizi, inasemekana kesi za kina mramba zitatuppwa kwa kukosa ushahidi wenye nguvu, na mramba atarudi kwenye baraza.

  yetu macho na masikio, ili haya yasitokee, wale wote wapenda maendeleo ya nchi waipatie chadema na dokta Slaa kura nyingi za ushindi.
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Kikwete hawezi kuwa Rais.
   
 3. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2010
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 775
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  anaweza kujilazimisha kuwa rais
   
 4. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hivi Uspika anapewa enh!!!!
   
 5. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Atajuta kwa wahisani
   
 6. DICTATOR

  DICTATOR JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Lowasa atakuwa waziri mkuu tena!! Hapo ndo tutakapochoka nao, kama siyo uspika wa bunge patawaka moto safari hii.
   
 7. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2010
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 775
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  atapewa na wapunge wa CCM (kumbuka wameshasema watashinda kwa silimia zaidi ya 80) kama kawaida yao wabunge wa CCm watawekwa chema na kutoka na uamuzi wa pamoja
   
 8. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Sidhani kama Dr. Slaa atampa lowasa cheo, labda nyapara wa gereza
   
 9. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2010
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 775
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  kama kibaki amemwaga hata damu hajajuta iwe kikwete?
   
 10. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #10
  Oct 30, 2010
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Wahisani wanapendelea Kikwete dhidi ya Slaa.
   
 11. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #11
  Oct 30, 2010
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kumbe je!. we unazani CCM wataacha kumpitisha Firauni mwenzao.
   
 12. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #12
  Oct 30, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kwahiyo na Sitta alipewa kihivyo mbele ya Msekwa enh! Tuache uzushi jamani. Uspika ni kugombania kweli kweli. Km anaweza kuwashawishi watampa ila atapambana na wagombea wengine.
   
 13. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #13
  Oct 30, 2010
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 775
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  ni kweli kwa kuwa wahisahi wanakula mema ya nchi hii chini ya uangalizi wa serikali ya kikwete
   
 14. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #14
  Oct 30, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Sitta alipitishwa enh?
   
 15. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #15
  Oct 30, 2010
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 775
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Ndo nakwambia mwaka huu atapewa lowassa maana malengo yao lazima yatimizwe. kama walifanya makosa kumpatia six uspika mwaka 2005, mwaka huu hawafanyi makosa.
   
 16. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #16
  Oct 30, 2010
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 775
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  sita alitokana ma kundi ya baada ya uchaguzi. mwaka huu makundi yamepungua hivyo CCM watatoka na jina moja la Lowassa
   
 17. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #17
  Oct 30, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Obviously.

  Elitrea wanapata mrahaba wa 40% kwenye madini, Tanzania 3%.

  Bado kuna mtu anakuja eti ananiambia "Chagua Kikwete"

  ***nge nini??
   
 18. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #18
  Oct 30, 2010
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 775
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  afadhari tumeanza kuelewana. kuondoka kwa kikwete na mafisadi wake ni kwa kupiga kura nyingi za ndio kwa Slaa ili hata wakiiba namna gani washindwe kuzifikia kura zake. twendeni tukapige kura kesho!
   
Loading...