Elections 2010 Wasomi hamtasahauriwa kwa hili

Jan 16, 2007
721
176
Ni wazi ya kua wasomi wengi walioko katika post mbalimbali za serikali wanaogopa kujihusisha na siasa ili kulinda post zao na kuhofu kuhusu post zao hivyo wengi wao wanaamua kukaa kimya au kutojihusisha na siasa kwani wanaogopa ya kua wakigundulika ya kua wanashiriki katika chama mbali na CCM ni hukumu tosha kupoteza kazi.HIYO NI RUSHWA!TUNAPASHWA KUELEWA TANAZANIA NA CCM NI VITU TOFAUTI TANZANIA NI YA WATANZANIA,TANZANIA SIO CCM CCM NI MOJA YA VYAMA KAMA VYAMA VINGINE.HIVYO TUFANYE UAMUZI BILA WOGA KUICHAGUA CCM NI KUDHALILISHA UWEZO WA AKILI YAKO MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Back
Top Bottom