Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,473
- 757
Last edited by a moderator:
huo ni mkutano aliodandia kwa jk, atoe video ya mikutano yake uone idadi ya watu inavyokatisha tamaa na watu wanavyokuwa ktk mikao ya kifiesta huku wanasubiri ule wimbo wa alajiii alaajiii kududundukudundukundundu... Ili wakate viuno halafu wapande usafiri bure kurudi makwao. Kifupi huyu jamaa jumapili saa 4 asubuhi biashara itakuwa kwishnee
i think your psychology is misleading mkuu.... soma signatuer yangu thoguhHuyu jamaa anaonekana kama mhuni fulani vile, au psychology yangu imeanza kuni-mislead nini?