Elections 2010 Ccm na jk jiandaeni kukubali kushindwa amani ya watanzania iko mikononi mwenu

Jan 16, 2007
721
176
Ni ukweli usiopingika ya kua CCM katika uchaguzi huu itashindwa.Nini cha kufanya kwa CCM na JK kubalini matokeo ya uchaguzi na kuipa CHADEMA na Dr.Slaa atuongoze na baada ya miaka mitano mtapata nafasi ya kulinganisha.AMANI YA WATANZANIA IKO MIKONONI MWA CCM Kwa sababu zifuatazo kama vurugu zinaweza kusababishwa na CCM kwa kuiba kura,vyombo vya usalama vyote viko chini ya CCM vyombo vya habari n.k wCCM WAKISHINDWA KUFANYA HILO TUTAKUTANA THE HUGUE MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Back
Top Bottom