Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna habari zinaingia sasa hivi kuwa mji wa Mbeya umekatiwa umeme/umeme umekatika. Hata kama ni hali ya kawaida (kama tunavyojua) lakini yaweza kusababisha manung'uni yenye kuhusisha hilo na...
1 Reactions
24 Replies
252K Views
Wakuu, Najua ufungaji wa JK mmeuona kirahisi na huko Mbeya hamkufanikiwa kujua kwa ukaribu kilichojiri kwa video au picha. Hizi ni baadhi ya picha nilizozinasa nawakilisha Gari la Polisi la...
0 Reactions
95 Replies
16K Views
Wana JF, kuna yoyote mwenye taarifa kuhusu mkutano wa CCM viwanja vya Jangwani? Tunaomba taarifa
0 Reactions
220 Replies
20K Views
Tarehe kama ya leo, 31-10-2007, miaka mitatu iliyopita gazeti la Raia Mwema lilianzishwa, miaka mitatu ya gazeti hili limechangia kwa kiasi kikubwa katika mchakato wa mageuzi ya kisiasa na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndugu waheshimiwa,Wakati nikijipanga kupiga kura yangu siku ya tar 31, nimekuwa nikiangalia hali ya hewa ili mtu asijesingizia hali ya hewa ilikuwa mbaya na hakujua. Mpaka sasa inaonekana kuwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mi naskia raha isiyo kifani kwa siku hii njema... Jumapili ilo njema kwetu watanzania.... Siku tuloisubiri kwa hamu na kwa uwezo wa mola imeingia.... Amkeni kaka na Dada inukeni vitandani...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Wadau, Nimekuwa nikifuatilia mijadala inayoendelea katika forum hii. Nataka kutoa changamoto kwa wadau wenzangu ili tujadili swali lifuatalo: Je, ni mtanzania gani ana SIFA na VIGEZO vya...
0 Reactions
625 Replies
74K Views
Usiku wa leo na mchana wa kesho ni siku ambayo CCM inapitisha na itapitisha unyama wa aina yake wa kutumia hila zao walizozitayarisha kwa ajili ya kupora uchaguzi. Hivyo wananchi wale wote ambao...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kutokana na kampeni za Jangwani na huko Mbeya mabomu yalivyokwenda,na jinsi viongozi wastaafu walivyomkandia Slaa katika dakika za mwisho ni wazi kuwa dkt.Slaa katika uchaguzi huu ataanguka tu...
0 Reactions
68 Replies
7K Views
Jamani hii imekaaje? KP noma.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu wana JF na wa Watanzania wote, leo ndiyo siku ambayo tumeisubiri kwa muda mrefu. Ni siku muhimu sana katika mapambazuko mapya ya nchi yetu. Nawaomba kila mmoja wetu ambaye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Makamanda wa PCCB huko Bariadi wamemkamata mke wa Andrew Chenge aitwaye Tina kwa tuhuma za kugawa hongo ya Sh5,000 na kanga kwa wapiga kura katika vikao vya siri alivyokuwa anavifanya. Source...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
WAZIRI Mkuu mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Ahmed Salim, amemmwagia sifa mgombea wa nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, Dk. Jakaya Kikwete, kuwa ana nia ya dhati ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Whats up jf world? The time for talk is up, now its time for some action. So who ya got? Slaa or kikwete? Me yours truly here im picking kikwete to win handily albeit i hate ccm's guts. Let me...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Hawa jamaa wa kijani walikuwa wanasafirisha watu kuwasikiliza, sasa sijajua kama watawabeba kesho au?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ikiwa ni tayari saa 6 usiku na ni tarehe 31 october 2010. Ni siku iliyosubiliwa kwa hamu kubwa ili watanzania wafanye mabadiliko makubwa. Mabadiliko yatakayo kumbukwa na vizazi vijavyo kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Huu ni Usia wa Mwisho kwa Chadema... Nawataarifu tu kwamba kuna uwezekano mkubwa sana wa Kikwete kushinda uchaguzi huu ikiwa Chadema watazembea ktk kuweka wasimamizi sehemu ambazo wao...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jamani katika mahojiano ya wagombea uraisi watatu JK,Slaa na Lipumba haya ya JK ndo yalikuwa yanaboa sana JK badala ya kujibu maswali anaanza kutoa historia.Kweli he is the OUTGOING PRESIDENT
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom