kasyabone tall
JF-Expert Member
- Sep 13, 2009
- 254
- 59
Ndugu waheshimiwa,Wakati nikijipanga kupiga kura yangu siku ya tar 31, nimekuwa nikiangalia hali ya hewa ili mtu asijesingizia hali ya hewa ilikuwa mbaya na hakujua. Mpaka sasa inaonekana kuwa maeneo ya pwani yatakuwa na mvua siku hiyo, Hivyo kwa taadhari tu, ni muhimu kujiandaa kukabiliana na hali hiyo isije ikakuzuia kupiga kura. Nimeona ni taarifa muhimu kwa watu wa maeneo ya Pwani. Tutaendelea kutarifiana hasa katika kipengele hiki cha hali ya hewa. Asanteni sana.
Source:GFS Forecast of Vertical Velocity and Precipitation
Source:GFS Forecast of Vertical Velocity and Precipitation