Nani aliweza haya uhai wa CCM - CCM is dead | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani aliweza haya uhai wa CCM - CCM is dead

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mwiba, Oct 30, 2010.

 1. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 2. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Jamani CUF inatisha kuliko miaka yote iliyopita haijawahi kutokea hata mara moja tokea enzi hizo ,hii ni mara ya kwanza kwa umati wa watu kufurika kila kona ya Zanzibar wakati wa ufungaji wa kampeni Mjini Unguja.


  [​IMG]
   
 3. minda

  minda JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135  mbona kama umati wa mkutano wa chadema? acha kupotosha umma mkuu!
   
 4. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Chadema hata mzikiri .u...i hamfikii kukusanya umati huo hapo sio mchezo .kesho ndio maziko ,hao uwaonao hapo wanasubiri maziko ya CCM kesho ,maziko yatakayochukua masaa kuminambili.
   
 5. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  [​IMG] Leo maziko baada ya sala ya maghribi apo maiti apelekwa kuombewa
   
 6. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu Mwiba naona ya bara umeshakubali!
   
Loading...