Kikwete atashinda ikiwa...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete atashinda ikiwa......

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mkandara, Oct 30, 2010.

 1. M

  Mkandara Verified User

  #1
  Oct 30, 2010
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Huu ni Usia wa Mwisho kwa Chadema...

  Nawataarifu tu kwamba kuna uwezekano mkubwa sana wa Kikwete kushinda uchaguzi huu ikiwa Chadema watazembea ktk kuweka wasimamizi sehemu ambazo wao hawakusimamisha mgombea iwe Mbunge au Diwani.

  Toka nimesoma michango mingi ya wana Chadema hapa kijiweni inaonyesha kwamba nguvu kubwa ya chama Chadema imewekwa sehemu ambazo wamesimamisha wagombea na ikumbukwe tu kwamba kwa kila sehemu ambayo Chadema haikusimamisha wagombea wake ktk Ubunge na Udiwani bado Dr.Slaa ni mgombea, hivyo kutokuweka msimamizi ina maana kura zote ktk vituo hivyo zinaweza kuchakachuliwa na kupewa Jakaya Kikwete.

  Hivyo ni muhimu kwa Chama Chadema kuweka wasimamizi ktk kila kituo cha kupigia kura regardless ili kuhakikisha ushindi wa Dr.Slaa unapatikana, laa sivyo Chadema kama chama kitakuwa hakikumtendea haki mgombea wetu wa kiti cha Rais na wananchi kwa ujumla.

  Tusije mlalamikia Mungu kwani yeye kisha ifanya kazi yake..
   
 2. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Asante mkuu. Naamini hilo wanalijua
   
 3. B

  Baija Bolobi JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2010
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 931
  Likes Received: 697
  Trophy Points: 180
  Mkandara
  Hilo limefanyika kwa hakika na kwa taarifa yako sehemu hizo si nyingi maana sehemu pasipo na mbunge kuna diwani. Pale ambapo hakuna kabisa, chadema wameweka wasimamizi. Naandika kutoka jimbo la Mkanyageni amabako hakuna yeyote isipokuwa Dr. Slaa na tayari tuna wasimamizi na mawakala.
   
 4. M

  Mkandara Verified User

  #4
  Oct 30, 2010
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mkuu wangu shukran sana hakika hii ndio ilikuwa wasiwasi yangu kubwa sana na kama imefanyika Tanzania nzima basi nakuhakikishia hakuna sababu ya kushindwa.
  Toka mjadala wa jana wa JK, watu wengi sana wamebadilisha maamuzi yao kumchagua kwani hakika yaonyesha wazi JK sii mzima - Something is very very wrong!
   
 5. Mwasi

  Mwasi JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2010
  Joined: Feb 12, 2010
  Messages: 249
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Binafsi nadhani Kikwete atashinda iwapo tu, uchaguzi hautakuwa huru na wa haki.
   
 6. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2010
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,866
  Trophy Points: 280
  :tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape:
   
 7. A

  Audax JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2010
  Joined: Mar 4, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mfa maji................................
   
 8. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mkuu;

  Pia nimjejifunza jambo ... Nimejaribu kumuelewa kwa undani kabisa Kiwete ..hasa jana akijibu vimaswali vilivyokufa na wanahabari wake!

  Nimegundua anategemea kampeni na nyenzo nyigine kumpa ushindi wa kma 50% na Uchakachuaji wa kura ..Kama 50%!.... Na nikama wako very clear na hili jambo na wametulia kabisa.

  Sisi na uadilifu, utu na ubinaadamu wetu.... tunaona kuwa Kutegemea kuchakachua by about 40%..ni dhambi na tunasutwa na nafsi na tunaona aibu kubwa...!

  Lakini uadilifu wa namna hii utatufanya kuongozwa na kutawaliwa na ufisadi...hawana aibu na wanachekelea ..kuuza utajiri na dhahabu ya nchi kwa sent hamsini...

  Ninafikiri kwa namana fulani ni uadalifu kabisa kuweza ku manage kura kama wao...Ili kupata Uongozi na kuutumia tofauti na wanavyofanya wao!!   
 9. b

  buckreef JF-Expert Member

  #9
  Oct 31, 2010
  Joined: Mar 19, 2010
  Messages: 310
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkandara,

  Uko right, hata kama wameweka mawakala, sehemu nyingi ambazo hawana wagombea ubunge au udiwani ni rahisi mno kuweka watu ambao wanaweza kununuliwa kirahisi.

  Mbunge au diwani anakuwa na watu wa karibu sana naye na ambao anawafahamu. Kama huna watu hao kwenye majimbo, rahisi kweli kufungwa magoli.
   
 10. BongoTz

  BongoTz JF-Expert Member

  #10
  Oct 31, 2010
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 272
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Well said, mkuu! Nikiwa moja ya watu ambao nimekuwa very critical na Chadema partly because they lack good and well coordinated organizational structure nationwide, nakubaliana na wewe katika hili jambo 100%. Ningependa sana kuona chama kingine tofauti na CCM kikiongoza nchi. And I believe Dr. Slaa ana stand good chance this year ku-pull an upset kama [narudia hapa: "kama"] Chadema wataweka wasimamizi makini katika kila kituo cha kupigia kura/nchi nzima. Ila, am very skeptical kama wataweza kufanya hivyo. Lakini kama wakiweza kufanya hivyo, then I'm pretty sure matokeo ya mwaka huu yatakuwa tofauti kabisa.
   
 11. Ustaadh

  Ustaadh JF-Expert Member

  #11
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 25, 2009
  Messages: 413
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  As long as hatuna tume huru ya uchaguzi na katiba inaipa nguvu ya kutangaza matokeo ya urais bila kuhojiwa na mahakama yoyote - ni wazi CCM itaendelea kushinda kiti cha urais. Kuna haja ya vyama vya siasa kuliangalia suala la kuwa na tume huru ya uchaguzi badala ya kukimbilia kwenye uchaguzi wakati unajua kwa vyovyote utashindwa kwa hila.
   
 12. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #12
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu huwezi kuamini hata CCM ya leo iko hivyo hivyo, na mark my words mwaka huu kutakuwa na kesi za chadema kutaka kuiba kura simply kwa sababu kuna watu watatakiwa kushiriki wizi and yet hawako loyal kwa CCM. They can alwayz use tht opportunity to do it otherwise. Halafu pia tukumbuke CCM haiko that much organised ku-coordinate rigging countrywide bila kujulikana, jambo hilik nik very likely kufanywa na wasimamizi wa wilaya au mkoa.
   
Loading...