Elections 2010 Kutoka kampeni za mwisho za CCM Jangwani

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Wana JF, kuna yoyote mwenye taarifa kuhusu mkutano wa CCM viwanja vya Jangwani?

Tunaomba taarifa
 
Watu wa kijani na njano waliosombwa kutoka Chanika, Mbande, Chamazi na kwingine pembezoni mwa Jiji ndiyo wamejaa pale!!!!
 
Mtaongea sana ngoja tumbananishe silaa kesho arudi hanang akafuge mbusi,mavuvuzela wa umu jf espesialy wale wa silaa,mjiandae kutafuta mlango wa kutokea'"ila nawataadharisha ile misemo ya tumeshinda ila tumeibiwa kura zetu ikome.
 
Star TV sasa wapo 'hai' kutoka viwanja vya jangwani, tizamia kumsikia mzee Mkapa na Mwinyi leo.
 
Sio makosa yako, saikolojia yenu imejipanga kubisha kabla kupiga kura.

Hebu tuache unafiki: Hivi kweli unaweza kukiri kwa nafsi yako kuwa Kikwete anafaa kupigiwa kura kuwa Rais kwa kipindi kingine cha miaka mi5?
 
ninachofikiri si lazima kiwe kile wanachofikiri wapiga kura wengine, matakwa ya wapiga kura wengi ndio yatakayo amua na hii itajulikana wakati wa kuhesabu kura tu.
 
kweli wewe na akili zako unaona JK ndo Rahisi anayefaa kwa tanzania??
 
Ear-Ring--12697.jpg
 
kweli wewe na akili zako unaona JK ndo Rahisi anayefaa kwa tanzania??

Nikilimlinganisha na mtu anayeishi na Kimada gesti (sorry), nikilinganisha na mtu anaye aliyesimamishwa na chama cha kikabila, nikiangalia shinikizo la kugombea limetoka kutuka kwa kundi fulani la dhehebu la dini, KURA yangu kwa KIKWETE kwa sababu;
1.anatoka chama kinachodumisha umoja, mshikamano, amani na utulivu wa taifa hili;
2.ametekeleza mengi ya yale aliyoahidi 2005(kejeli utakavyo lakini kweli imesimama)
3. anauzoefu wa uongozi kuliko wagombea wote.
4.ana busara, wala hadanganyi ili tu apewe kura( slaa ni muongo)
5.chini ya uongozi wake demokrasia imekuwa na amesimamia kwa dhati vita dhidi ya rushwa( bado kuna haja kuongeza kasi though)
 
Tumeibiwa. asante kwa kufaidi ufisadi ila nina wasiwasi kama unawapenda ndugu zako waendelee kuwa maskini wakati tuna rasilimali..
 
Nikilimlinganisha na mtu anayeishi na Kimada gesti (sorry), nikilinganisha na mtu anaye aliyesimamishwa na chama cha kikabila, nikiangalia shinikizo la kugombea limetoka kutuka kwa kundi fulani la dhehebu la dini, KURA yangu kwa KIKWETE kwa sababu;
1.anatoka chama kinachodumisha umoja, mshikamano, amani na utulivu wa taifa hili;
2.ametekeleza mengi ya yale aliyoahidi 2005(kejeli utakavyo lakini kweli imesimama)
3. anauzoefu wa uongozi kuliko wagombea wote.
4.ana busara, wala hadanganyi ili tu apewe kura( slaa ni muongo)
5.chini ya uongozi wake demokrasia imekuwa na amesimamia kwa dhati vita dhidi ya rushwa( bado kuna haja kuongeza kasi though)

Pole sana. Maana siku moja utaulizwa na uzao wako na hutakuwa na la kujibu.
 
Back
Top Bottom