Hivi yale malori ya kubeba wasikilizaji yapo kuwapeleka vituoni kesho? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi yale malori ya kubeba wasikilizaji yapo kuwapeleka vituoni kesho?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by MWANA WA UFALME, Oct 30, 2010.

 1. MWANA WA UFALME

  MWANA WA UFALME JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2010
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 578
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawa jamaa wa kijani walikuwa wanasafirisha watu kuwasikiliza, sasa sijajua kama watawabeba kesho au?
   
 2. kiraia

  kiraia JF Gold Member

  #2
  Oct 30, 2010
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 1,614
  Likes Received: 268
  Trophy Points: 180
  wamegawa buku tanotano kwa ajili ya nauli
   
 3. nyasatu

  nyasatu Member

  #3
  Oct 30, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  watajiju nani aliwaambia wafuate mkumbo hapo ukute hata mtu hana nauli ya kurudi home,jaman watu wengine akili zao u cannot imagine wanawaza nn,apo na bado atampa kura uyo uyo aliemtosa...mungu wasaidie wafunguke macho
   
 4. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #4
  Oct 30, 2010
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Eeee! Mungu tuondolee Huu Ujinga maana ndio mtaji wa CCM.
   
 5. MWANA WA UFALME

  MWANA WA UFALME JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2010
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 578
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  haha, ila waangalie wasiwasaliti, maana kwenye kile chumba kila mtu yupo kimpango wake.
   
 6. c

  chanai JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 279
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kesho ndo kilio chao na kusaga meno
   
 7. MWANA WA UFALME

  MWANA WA UFALME JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2010
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 578
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli hapa tunahitaji maombi maana huo ni ujinga.
   
 8. m

  mwanamabadiliko JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 441
  Likes Received: 340
  Trophy Points: 80
  cha kushukuru wote wale ni vilaza wakifika kupiga kura watakuwa wameshamsahau kikwete kwa hiyo watampa slaaaa, maana hawajui hata kusoma:doh:
   
 9. mnyikungu

  mnyikungu JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2010
  Joined: Jul 26, 2009
  Messages: 1,447
  Likes Received: 597
  Trophy Points: 280
  huku iringa wamerudishwa makwao na CCM yenyewe
   
 10. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #10
  Oct 31, 2010
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 681
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  hivi kuna sheria tanzania inayoruhusu kusafirisha watu kwenyee maloro?
   
 11. MWANA WA UFALME

  MWANA WA UFALME JF-Expert Member

  #11
  Oct 31, 2010
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 578
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Walitaka kuwatumia kutuhadaa kwamba wanasupporters wengi ila kwenye visanduku, watajua wenyewe
   
 12. MWANA WA UFALME

  MWANA WA UFALME JF-Expert Member

  #12
  Oct 31, 2010
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 578
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hii nchi sheria huwa wanazipindisha tu kama wanavyotaka. Utasikia wengine wanahutubia hadi saa moja na sheria haichukui mkondo wake.
   
Loading...