Kila la heri na uchaguzi uende kwa usalama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kila la heri na uchaguzi uende kwa usalama

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Dark City, Oct 31, 2010.

 1. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Ndugu zangu wana JF na wa Watanzania wote, leo ndiyo siku ambayo tumeisubiri kwa muda mrefu. Ni siku muhimu sana katika mapambazuko mapya ya nchi yetu. Nawaomba kila mmoja wetu ambaye amejiandikisha na hana kizuizi chochote akapige kura. Tujitahidi kuwahi katika vituo vyenu ili tuweze kutekeleza wajibu huu muhimu wa kumpigia kura kiongozi wetu ajaye.

  Nawatakia kila la heri mnapoenda kupiga kura katika vituo vyenu. Kumbukeni, kura yako moja ni muhimu sana kati huu uchaguzi.

  Mungu awabariki sana na uchaguzi wetu uishe salama.

  DC
   
Loading...