Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kama JK ataapishwa kesho kuwa rais wetu, tutashudia safari ya kwanza kwenda US kutalii na safari nyingine nyingi zitafuatia ili kufidia zile ambazo hakusafiri wakati wa kampeni! Atatumia zaidi ya...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Je Wabunge wateule kupitia CHADEMA wanaweza kuingia bungeni na kuitisha hoja binafsi juu ya suala la kuwa na katiba mpyaaaaaa????????
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Uchakachuajia umeisha,sasa je tutegemee nini kutoka kwa JK?Mi naomba nianze na number 1. 1.Nategemea baraza lilelile la mawaziri wengi wakiwa hawana viwango vya...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
This was my first post on 7th July 2008. How far am I from the truth? I am an Alien from outer space. I reside in Galaxy but have been assigned to follow various developments in this planet...
0 Reactions
0 Replies
901 Views
Naomba tuwekane sawa kuhusu mambo mawili: 1. alichosema Dr. Slaa kuhusu ushiriki wa makada wa CCM katika kikao kilchofanyika La Kairo Hotel 2. Hoja za wanaokanusha. Alichosema Dr. Slaa: Kwanza...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
kwa maana uchaguzi wa mwaka huu wame tuonyesha kazi yao
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Uchaguzi umeisha ,kura zimeibiwa live, kila mtu kaona kura zimeibiwa na Chadema hawajakubaliana na huu wizi , sasa kitu gani au hatua gani zitachukuliwa? mpaka sasa hivi sijui kwamba DR ametoa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ana kweli madaraka yana gharama zake, mbunge mteule wa CCM jimbo Shinyanga mjini akiyepita kimazabe analindwa na ulinzi mkali wa polisi sasa sijui watamlinda mpaka lini na watawalinda wengi sana...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Baada ya matokeo kutangazwa nini chama cha CHADEMA kinatakiwa kufanya ili kisipoteze muelekeo wake. Kwa kuwa baada ya rais kuapishwa sheria inakataza kufungua kesi ya kupinga matokeo, basi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Uchaguzi umekuja umepita. CCM wamefanya walivy dhamiria, kutuibia watanzania haki yetu. Kutokana na maguvu na mabavu yao wataendelea kutukandamiza. Tukubali yaishe, lakini njia sasa inaelekea...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kiravu akiri NEC ilikosea na sasa matokeo yasomeka kama ifuatavyo Kikwete 30,960 badala ya kura 17,792 (+13,168) Slaa 22,036 badala ya kura 3,789 (+18,247) Utaona Slaa alitaka kudhurumiwa...
0 Reactions
60 Replies
7K Views
Kufuatana na habari katika Nipashe ya leo, matokeo ya mwisho ya urais kwa wagombea wakuu watatu ni kwamba Kikwete kapata kura milion 5.169, Dr Slaa kura milioni 2.193 na Prof Lipumba kura mil...
0 Reactions
64 Replies
8K Views
wana JF mimi najiuliza utakuwaje uhusiano wa JK na Obama baada ya uchaguzi. Maana katika Afrika Obama amemsifia sana JK.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni kweli yawezakua hawa mafisadi walifanya uchakachuaji wa kura za uraisi. Lakini hata hivyo kulingana na vyama vya upinzani kutokua na umoja na nguvu ya pamoja hawakuweza kufika hadi vijijini...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
By John Kulekana (AFP) – 2 hours ago DAR ES SALAAM — Tanzanian President Jakaya Kikwete was re-elected with 61 percent of the vote, electoral officials said Friday, in a poll marked by low...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Source: Mwanahalisi: Jumatano, Novemba 3-9, 2010 NEC inatuhumiwa kuhujumu matokeo ya Uchaguzi kwa lengo la kukinyima ushindi CHADEMA. Madai hayo yamo katika barua ambayo CHADEMA kiliwakilisha...
0 Reactions
108 Replies
12K Views
Mawakala wa chadema wanadai kwamba karibu kura zote zilizoharibika zilikuwa za Dr. Slaa! Wamedai kuwa ukimpigia Slaa kwa kuweka tick, wanaccm wanakoleza wino hiyo sehemu halafu wakati wa kuhesabu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
CCM yaanza kumeguka • Katibu UWT Maswa atimuliwa SIKU tano baada ya kumalizika uchaguzi wa rais, wabunge na madiwani, huku Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikinyakua...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Huo ndo ushindi wa tsumani, mhhhh!!!!!!!!!!! anyway, let's wait may b atabadilika this time. Tuombe Mungu na wakati huo nasisi tuendelee kufanya kazi kwa bidii. God bless TZ as he blessed George...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama kilaza {kikwete} ataapishwa na kuwa raisi, inamaanisha kwamaba chadema hawakuwa na la kufanya ilkumuondo asiwe rais kwa mujibu wa katiba yetu tuliyo nayo sasa. Kwa upande wa dr wa ukweli...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…