ushauri wangu kwa wabunge wa chadema na uongozi mzimz....


P

PapoKwaPapo

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2008
Messages
380
Likes
3
Points
0
P

PapoKwaPapo

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2008
380 3 0
Kama kilaza {kikwete} ataapishwa na kuwa raisi, inamaanisha kwamaba chadema hawakuwa na la kufanya ilkumuondo asiwe rais kwa mujibu wa katiba yetu tuliyo nayo sasa.
Kwa upande wa dr wa ukweli [SLAA} ningependa iundwe kamati ya watu kama watatu au wanne na dr wa ukweli akiwa mwenyekiti wake, kamati iyo iwe na kazi ya kuwasimamia na kuwakumbusha wajibu wa wabunge wote wa chadema wawapo majimboni kuongoza ufanisi wao na kuwasaidia ili wasijisahau na baada ya miaka mitato waonyeshe kwali wamefanya kitu.
Mfano mzuri ni Zitto baada ya kuonyesha maendeleeo kwa vitendo watu wa huko wamechagua upinzani kwa karibu asilimia 80.
Kwa upande wa wabunge wa chadema wajitolee angalau asilimia 20 ya mishahara yao itumike kwenye kuisaidia jamii mfano hospitali,shule,vituo vya kulelea yatima nk.ni kidogo lakini itakifajya chadema kiwe chama cha kijamii zaidi.
nawakilisha kwa uongozi.
Mungu ibariki chadema,Mungu ibariki Tanzania.
 
C

CCM

Member
Joined
Nov 3, 2010
Messages
44
Likes
1
Points
0
C

CCM

Member
Joined Nov 3, 2010
44 1 0
Kwa nini mlimfukuza Kafulila, wajinga nyinyi!
 

Forum statistics

Threads 1,235,908
Members 474,863
Posts 29,240,213