Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

SASA UDr. wa kikwete ni wa wapi? Honoraria Doctorate hazitakiwi kumtambulisha mtu ..except Academic na proffesional . Sasa huyu mkwere anapenda sana kujitambulisha na kutajwa na vyombo vya habari...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
As now widely anticipated, Jk will be assuming the reins of power for his last presidential term despite wanton allegations this is the most tainted election in our fifty years of...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
katika Thread ya CHADEMA kuchuka Kilombero, nimemtumkana Bado niponipo. Naomba Uniwie Radhi maana nilihamanika kwa Sababu toka jana kuna Members ambao kazi yao ni kuleta habari ambazo hata wenyewe...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Jamani vipi matokeo ya urais bongooo????kuna nini kinaendelea????Tumepiga kura siku moja na Brazil,wenzetu wameshapata rais wao na kura zilihesabiwa na kupatikana mshndi just in two days na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mie siamini kama kura zilizoharibika ni nyingi kiasi hicho, sidhani pia kama Watanzania ni wajinga kiasi hicho. Mie nafikiri kura zilizoharibiwa ni za Wapinzani na zimeharibiwa kwa makusudi ili...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Haya Dr. Slaa tunashukuru kwa kutaka kuingiza nchi yetu kwenye mfarakano usiokuwa na maana... kisa umesifiwa sana... Hili jambo laweza kuondoa credit zote ulizopewa na wananchi nakutakia kila...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Waumini wanaoadiwa kuwa ni wa imani ya Freemasons inayosemekana inatumia nguvu za giza, mwishoni mwa wiki iliyopita walifanya sherehe ya kufuru nchini ambapo Risasi Mchanganyiko lilifuatilia...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
JAMANI E NAOMBA MUNIPE MSTAKABALI WA USHABIKI TUNAOUSHABIKIA,, MAANA ISIJE KUWA TUNASHABKIA VUMBI KUMBE JAMAA KAKUACHA PAKUMBWATU.. NAOMBA NISAIDIWE MAJIMBO MANGAPI YALIYO CHUKULIWA NA CHADEMA...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
CCM mnatuambia nini kuhusu hili? @ Slaa, the country is behind you, tusikubali kunyang'anywa haki yetu, JUSTICE DELAYED IS JUSTICE DENIED!
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Iwe kweli au sio kweli hali inabaki kuwa JK tunaye for the next 5 years Insha Allah Nini kifanyike ili huu uchakachuaji wa safari hii usijirudie tena na watu wapate haki? We know they have good...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mteketa ametangazwa mshindi wa kilombero ila mungu yupo na adhabu yao naona mungu ameshaipanga ole wao
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakati wa Mkutano Mkuu wa CCM pale Chimwaga, Dodoma, wakati wa kupiga kura za kumteua mgombea wa Urais kupitia chama hicho kwa Uchaguzi Mkuu wa 2005, baadhi ya wajumbe waliokuwapo kwenye Ukumbi wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ITV imeripoti ya kuwa mgombea ubunge wa NCCR MAgeuzi ambaye alipitwa kaw kura takribani elfu moja na yule wa ccm aliingia mitini baada ya majumlisho ya pili ya kura na hivyo kugoma kusaini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WanaJF leo katika kufuatalia matangazo ya kuapishwa Raisi wa Zanzibar nimeona jamaa yetu Komandoo hali yake si shwari! Sijui ni nini kinamsibu komandoo wa watu.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
By Charles Onyango-Obbo Send Cancel Bottom of Form Posted Monday, November 1 2010 at 12:33 The votes in Tanzania’s October 31 election were counted well before the vote, according to critics...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Baada ya Dkt Shein kuapishwa kuwa Rais wa Zanzibar leo, Tanzania kwa sasa haina Makamu wa Rais! Hapa Katiba haijavunjwa wandugu? Tujadili!
0 Reactions
47 Replies
5K Views
baada ya dk slaa kunyang'anywa uraisi kwa hujuma ya ccm ya kugeuza matokeo na viti vingi vya ubunge chadema kupokonywa isivyo halali inabidi chadema ijipange kuanzia leo kwa ajili ya uchaguzi wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu, MTOTO anayetegemea maziwa toka titi la mama anafanyaje anapolikosa? Jibu lake; mtoto huyo atahangaika sana, na kama ataliona titi lingine, atalishika alinyonye, hata kama si la...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Tutamkosa bungeni manake amegombea urais na kufanikiwa kuongeza idadi ya wabunge wa chama. Swali ni je,atakuwa buisy akifanya nini? 1. Kutafuta mabomu na kuwapatia Waheshimiwa Lissu na Mnyika...
0 Reactions
62 Replies
7K Views
Ningependa kufahamishwa njia inayotumika kumpata Kiongozi wa upinzani Bungeni. (Ni kwa upinzani wenye viti vingi au vyama vya upinzani vyenye viti bungeni vinaweza ungana na kumchagua kiongozi wao?)
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom