Elections 2010 JK na 61% victory, ushindi wa tsunami au katrina?!!!

mamanalia

JF-Expert Member
Nov 7, 2009
667
250
Huo ndo ushindi wa tsumani, mhhhh!!!!!!!!!!! anyway, let's wait may b atabadilika this time. Tuombe Mungu na wakati huo nasisi tuendelee kufanya kazi kwa bidii.

God bless TZ as he blessed George Washington and his USA.

Take a look at my avatar, that's Jerry Rawlings. Got him?
 
MpitaNjia

Member
Nov 6, 2007
47
0
Huo ndo ushindi wa tsumani, mhhhh!!!!!!!!!!! anyway, let's wait may b atabadilika this time. Tuombe Mungu na wakati huo nasisi tuendelee kufanya kazi kwa bidii.

God bless TZ as he blessed George Washington and his USA.

Take a look at my avatar, that's Jerry Rawlings. Got him?

Huu ni ushindi wa VITISHO, RUSHWA na UCHAKACHUAJI.....
 
The Dreamer

JF-Expert Member
Feb 2, 2009
1,282
0
Watu waliozoea kupewa mezani (rejea PhD ya JK) kila kitu ni hivyo. Hakika inawezekana kabisa walipata chini ya 45%
 
Sir R

JF-Expert Member
Oct 23, 2009
2,175
1,195
Rais anapatikana kwa kuchakachua, mafuta ya magari yake ni kuchakachua, bidhaa zinazoingizwa nchi zimechakachuliwa, viongozi wana degree za kuchakachua, taarifa kila idara ni ya kuchakachua, kila kitu Tanzania ni kuchakachua. Miaka mitano ijayo ni ya kuchakachua mambo.

Lowasa camp na Sitta camp watachakachuana,
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom