Wana haki ya kuwasilisha lakini najua Wabunge wa CCM wakitumia wingi wao wataipinga. Ili kufanikiwa ni lazima wapate wabunge wengi ndani ya CCM waiwasilishe na wao waiunge mkono. Itabidi washindani wajenge hoja kali sana ambazo zitaweza kukonga nyoyo za baadhi ya wabunge wa CCM na hivyo kuunda ushirikiano mtakatifu kupambana na mafisadi "lunkunku" sugu wa CCM.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.