Elections 2010 Ushauri kwa raisi wangu dr slaa

Mbalinga

JF-Expert Member
Apr 9, 2010
1,714
1,370
Uchaguzi umekuja umepita. CCM wamefanya walivy dhamiria, kutuibia watanzania haki yetu. Kutokana na maguvu na mabavu yao wataendelea kutukandamiza. Tukubali yaishe, lakini njia sasa inaelekea kwenye ukombozi wa kweli.

Itasha mkutano katika viwanja vya jangwani ili kuwashukuru watanzania wote walio kupigia kura. Ndiyo tukutane ili utupatie dira, tunaelekea wapi baada ya haya. Hakika Mungu yuko pamoja nasi na tutashinda tu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom