Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

WanaJF, haya ndo wanataka CCM kila sehemu walikofanya vibaya. Bofya hapa ushuhudie mwenyewe!! - Home
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Watanzania wenzangu, Vita vya ufisadi mbado vibichi kabisa, nasema hivyo baada ya matokeo ya Uchaguzi yanaonyesha wale watuhumiwa ambao walihusishwa na tuhuma za Richmoond, Rada, Kagoda, EPA nk...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
HABARICOM - live streaming video powered by Livestream ENJOY
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wana jf sijapata matokeo ya kalapina naomba mwenye habari zake atupashe
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wasimamizi watatu wa uchaguzi chunya wamewekwa ndani kwa tuhuma za uchakachuaji, habari kamili zinamtaja afisa elimu kilimo bwana mbulule na afisa ukaguzi na mhusika mwingine ambaye hajafahamika...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Natumai nyote mko salama. Ushauri wangu kama raia mwema kwenda kwako Rais Kikwete, Nakushauri kwa nia njema kabisa , tafadhali jaribu kuangalia mbali kidogo kutoka ktk pua. Ushauri wenyewe...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Jamani kitendo cha huyu Mkwere kukiua CCM kwa kufanya ni chama cha familia, kuwakumbatia mafisadi, kuuza migodi kwa wageni nk ni kitendo cha kuungwa mkono sana maana bila kufanya hivyo 1.Zingetoka...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
:A S cry:Ina maana watu wengine mnataka tuendelee kuumia kwa miaka mingine mitano (5).:sad: Tukumbuke kwa jinsi hali ilivyo bungeni sasa CHADEMA tuna wabunge wachahe ina maana tukitaka kupitisha...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mpaka sasa chadema ina viti 23 ukilinganisha na wabunge wa5 wa bunge lililopita.Hii ni baada ya kuchakachua huko kigoma mjini,songea mjini,mbeya vijijini,mbozi magharibi,kilombero,segerea na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
I hear a voice in my soul about presidential elections 2010. NEC announces results in favour of JK in terms of magnitude of votes. NEC will finally announce JK as a winner with highest percentage...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani mnasikia habari za mama (AFISA MTENDAJI KATA YA TABATA) alivyokamatwa na karatasi (form za kujaza matokeo). Hii habari hiko live ITV hebu mwenye data arushe zaidi. Mama yuko Polisi na...
0 Reactions
52 Replies
7K Views
Urais: Dr Slaa 16,120 na JK 28,575 Ubunge: Emmanuel Nchimbi CCM -27,495 na Edson Mbogoro CHADEMA 17,495. CCM wametumia system kupora ushindi wa CHADEMA Songea mjini.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hivi kwa nini CCM inaona ucheleweshaji huu matokeo ni sawa tu?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Inasikitisha na inamaanisha kuwa CHADEMA watafute watu wenye mismamo katika chaguzi zijazo. Taarifa niliyoipata toka Tarakea Rombo hivi punde ni kuwa aliyekuwa ametangazwa diwani wa Tarakea (eneo...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Katika hali isiyo ya kawaida, wafuasi na wakereketwa wa Chama cha Wananchi (CUF) na Chama Cha Mapinduzi (CCM), jana walilazimika kuweka itikadi zao za vyama pembeni na kuungana baada ya kupewa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
My Plan B is here: Mkakati wa Wapambanaji Ndani ya Bunge Lijalo; * New Electoral Commission (Tume Mpya na Huru ya Uchaguzi) * Mabadiliko ya Katiba, kuondoa Viongozi CCM kuwa wakala wa Tume...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Matokeo ya uchaguzi mkuu yanavyozidi kutangazwa imefahamika kuwa Chama tawala CCM kimepoteza m ajimbo 51 nchini kote.Meneja wa kampeni za CCM, Abdulrahman Kinana amekiri mbele ya waandishi wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nikiangalia katika mitandao ya kijamii, nikisiliza redio na vyombo vingine vya habari watu wengi wamechoshwa na ccm, utafiti wangu unaonyesha wanaoendelea kuikumbatia ccm ni watu wanaonufaika moja...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Vijana wetu wa jeshi la polisi mnausikitisha sana umma wa Watanzania. Hivi ni kwa nini mnakubali kutumika ndivyo sivyo. Mnapoamrishwa kuwapiga mabomu raia ambao wamekaa kwa amani na utulivu kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
For those few sane people out there who really want to see some real and lasting change to this country of ours we call Tanzania; you'll totally value what I'm about to say. But for those few ones...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Back
Top Bottom