remoteattacks
Member
- Oct 30, 2010
- 25
- 0
Mawakala wa chadema wanadai kwamba karibu kura zote zilizoharibika zilikuwa za Dr. Slaa! Wamedai kuwa ukimpigia Slaa kwa kuweka tick, wanaccm wanakoleza wino hiyo sehemu halafu wakati wa kuhesabu wanakuambia hii imeharibika maana haieleweki kama tiki au la (mfano Mvomero hiyo approach imetumika sana)! CCM kweli kila dhambi wana maexperts!