Wadau vumbi la viti maalum ubunge limetua,sasa hivi viti vya udiwani vinapatikanaje?yaani ni fomula gani itatumiwa na tume?mwenye data namna vinapatikanaje amwage hapa!