Wabunge chadema mkomae hakuna kulala | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge chadema mkomae hakuna kulala

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by domo kweli, Nov 12, 2010.

 1. d

  domo kweli Member

  #1
  Nov 12, 2010
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Spika ndo huyo, SS EM wanaanda mpango wa 2015 kwa wateule wao wenye uchu wa madaraka hata kwa kudhani wa TZ ni mafara wa karne hii.Wabunge CHADEMA hakuna kulaza damu,wasomi kibao,uwezo wa kujenga hoja ndo usiseme jambo la msingi ni kuwa na hoja zenye utafiti wa kina na Data za uhakika kupiga support hoja hizo.Hakika hata huyo Mama Spika angekuwa jeuri wa kiwango gani katika kuzima hoja hizo, atakwama tu.DR wa ukweli ni mfano hai choteni hazina.Tunataka Bunge hai.
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Nov 12, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180

  Na hivi wamenyimwa kura na CUF, kitaeleweka bungeni. Na sisi umbea wa mtaani tunawapa.
   
 3. d

  defence JF-Expert Member

  #3
  Nov 12, 2010
  Joined: Aug 13, 2008
  Messages: 508
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 60
  Mimi nadhani CUF NCCR UDP na TLP siyo tatizo,kwanza sidhani kama viko
  recognised vizuri kwenye jamii,wanachotafuta sasa ni recognitation ambayo
  kwangu mimi naona kama chadema wameshaanza kufanikiwa kuipata.
  Kinachotakiwa ni kupambana kwa kwenda mbele Mfano. Mrema hana jipya
  anasubiri muda tu wake ufike hawa wengine wa CUF itabidi ipendekezwe
  hoja ya TANGANYIKA nasi tuwe na wakutusemea, Kama Zanzibar( Unguja
  na Pemba) inasemekana ni ndogo ukilinganisha na wilaya ya Temeke lakini
  ina Rais ,Makamu wa Rais wawili, mawaziri, wakuu wa mikoa na wa wilaya, wabunge
  wa kwao na wanaokuja bara eti kuwakilisha muungano ilihali eneo kama hilo huku
  bara tuna mkuu wa wilaya akisaidiwa na mkurugenzi na wabunge wa siozidi watano
  kama nitakuwa sahihi, then tunawabembeleza wa nini? Kwa maoni yangu CHADEMA
  wasitetereke ili picha halisi ya mapungufu ya Muungano.
   
 4. Domhome

  Domhome JF-Expert Member

  #4
  Nov 12, 2010
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 1,993
  Likes Received: 1,046
  Trophy Points: 280
   
 5. d

  defence JF-Expert Member

  #5
  Nov 12, 2010
  Joined: Aug 13, 2008
  Messages: 508
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 60
  Namaanisha kuwa hana jipya,sioni kama atakuwa na mchango wowote kwa umma wa
  walala hoi wa Tanganyika,
   
 6. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #6
  Nov 12, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kweli kumekucha. Karibu lakini hapo kwenye nyekundu, pachunge sana. Inabidi uwe na lugha za kiutu uzima!
   
 7. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #7
  Nov 12, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Chadema kuweni makini kuweni kama timu pamoja ili mfanye mambo ya kikubwa.jamani epueni rushwa. CCm wanaendelea kugawa hela watu wawasaliti. ACHENI KULA RUSHWA
   
 8. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #8
  Nov 12, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Kwa sasa CUF tayari wapo na CCM ktk serikali ya mseto, na wamekasririshwa na statement za some of the Chademans,

  So kuna kila uwezekano wa Makinda naye kutumia uzaifu huo kukandamiza na kudumaza upinzani

  Chadema be very careful!!!
   
 9. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #9
  Nov 12, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Cha maana hapa ni kutuliza hasira na kujipanga, maana vita ya panzi furaha ya kunguru. Mpiganapo CUF na chadema CCM wanazidi kujijenga. So acheni hayo. toeni hoja za msingi wananchi wawaamini.
   
Loading...