Elections 2010 Next PM

chidide

Member
Nov 11, 2010
91
9
Nimeota ndoto kuwa Mizengo Pinda si Waziri Mkuu ajaye. Atakayekuwa PM ni mtu aliyekuwepo serikalini asiye na jina ambaye kuwepo kwake ni kama yupo hayupo!!!!:thinking::thinking::thinking::sad::sad::sad::A S cry::A S cry::A S cry:
 
nimeota ndoto kuwa mizengo pinda si waziri mkuu ajaye. Atakayekuwa pm ni mtu aliyekuwepo serikalini asiye na jina ambaye kuwepo kwake ni kama yupo hayupo!!!!:thinking::thinking::thinking::sad::sad::sad::a s cry::a s cry::a s cry:we mdogo wa sheh yahya?
 
Nimeota ndoto kuwa Mizengo Pinda si Waziri Mkuu ajaye. Atakayekuwa PM ni mtu aliyekuwepo serikalini asiye na jina ambaye kuwepo kwake ni kama yupo hayupo!!!!:thinking::thinking::thinking::sad::sad::sad::A S cry::A S cry::A S cry:
Uzuri HIYO NI NDOTO...........NA NDOTO INAWEZA IKAWA KWELI AU SI KWELI...........THEREFORE THE PRESENCE OF THIS POST EQUALS TO ITS UBSENCE
 
duuuhhh pole sana kwa kuota hivo
kwanza ngoja nikukaribishe
halafu kama una muda nataka unielezee ndoto yako kwa kirefu zaidi
kadri tunyozidi kukuona huku kwenye JF....:smile:
 
Ndoto ni neno nililotumia kuonyesha kuwa something like this is on the way, for JK no one will complete ten years na yeye, alianza kwa Lowassa then Sitta. Bado ana list ndefu ya kuwapoza washkaji toka 2005:thinking:
 
Na wewe ni mtabiri wa nyota?
 
Ndoto ni neno nililotumia kuonyesha kuwa something like this is on the way, for JK no one will complete ten years na yeye, alianza kwa Lowassa then Sitta. Bado ana list ndefu ya kuwapoza washkaji toka 2005:thinking:
Du kama Shehe Yahya vile.
 
Nimeota ndoto kuwa Mizengo Pinda si Waziri Mkuu ajaye. Atakayekuwa PM ni mtu aliyekuwepo serikalini asiye na jina ambaye kuwepo kwake ni kama yupo hayupo!!!!:thinking::thinking::thinking::sad::sad::sad::A S cry::A S cry::A S cry:

wamrudishe tu Lowassa bana
 
Ndoto ni neno nililotumia kuonyesha kuwa something like this is on the way, for JK no one will complete ten years na yeye, alianza kwa Lowassa then Sitta. Bado ana list ndefu ya kuwapoza washkaji toka 2005:thinking:

Sasa chidide si ungesema scientifically hivyo rather than kusema umeota? Sasa kwa maelezo yako hiyo ni ndoto?
 
Bila shaka waziri Mkuu hatakuwa Pinda, even me niliota Pinda ameomba kupumzika na Mkulu akakubali, jamaa aliyetajwa ni msanii sanii fulani ila yupo serikalini.
 
Ni mimi nimeshashonesha suti zangu tayari na kadi yangu ya Chama nimelipia madeni yote ya tangu enzi za Nyerere.

Mukiona nimepotea mujue ndiyo nimechaguliwa. Endeleeni kuota.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom